Tahadhari kwa walimu wanaotafuta kazi

Mkuu tumeshawatahadharisha watu...mwenye kusikia na asikie...tukitaja majina kuna watu watawaza tupo kwa lengo la kumchafua mtu
Pia wanaweza wakawa wanatumia line ambazo hazisomi majina yao, ukaishia kumchafua mtu ambae hausiki. Ila unaeza ukataja ID zao za humu JF ingawa ni rahisi kuachana nazo na kufungua mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huyu jamaaa nimewasiliana nae saidi ya Mara moja tenaaaaa anajifanya ni mtu mwenye huruma Kisha anamshirikisha jamaaa yake mmoja kana kwamba ni mtu wa system kuwa ukimtumia pesa anaomba pesa ya kuprint Kisha anakwambia ili akusainie tuma pesa ukimzongua anaanza kukuomba as if ni mtu wa msaada sanaaa but ni tapeli
 
Mnazo hela za kugawa, usawa huu mtu anakutapeli na kweli unaingia mkenge?!
 
@
Mimi huyu jamaaa nimewasiliana nae saidi ya Mara moja tenaaaaa anajifanya ni mtu mwenye huruma Kisha anamshirikisha jamaaa yake mmoja kana kwamba ni mtu wa system kuwa ukimtumia pesa anaomba pesa ya kuprint Kisha anakwambia ili akusainie tuma pesa ukimzongua anaanza kukuomba as if ni mtu wa msaada sanaaa but ni tapeli
Mkuu huyu jamaa Wa Igima ndo mchezo wake huo na anawafanyia wengi hivyo...sasa ni wakati wa kumuumbua
 
Back
Top Bottom