Tahadhari kwa walimu wanaotafuta kazi

IWAMBI

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
730
624
kuna tapeli humu ukiweka tangazo la kutafuta kazi ya ualimu anakufuata inbox na kukupa number yake umcheki akijifanya anataka kukusaidia....ukimtafuta anashirikiana na jamaa yake mmoja kuanza kukupanga na maelezo mengi ili wakutapeli..wananjia nyingi za utapeli moja anakuunganisha na jamaa anayejifanya anafanya kazi tamisemi na huyo jamaa anajifanya kama anataka kukusaidia upate kazi serikalini na njia nyingine ukishawatumia CV wanajifanya kuna shule ya private inakuhitaji mtu kama wewe na hapo ndo utapewa maelezo mengine ya ziada but lengo lao mwisho wa siku wakutapeli.....hayo matapeli yanatumia number hizi mbili...(moja inaishia 56 na nyingine 87)
 
Hawa jamaaa n matapeli sana walitumia email ili niwatumie CV nikawatumia kilichofata n mauza uza na huyo member mwenye namba ya mwisho 56 namba yake ninayo

Hawa jamaa sio watu wazur kabisa tuwe makin kwa kuwa anakutafta yeye pm na subject yenye neno ajira kisha hukupa namba ili umpigie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo jamaa ni tapeli haswaa
 
kuna tapeli humu ukiweka tangazo la kutafuta kazi ya ualimu anakufuata inbox na kukupa number yake umcheki akijifanya anataka kukusaidia....ukimtafuta anashirikiana na jamaa yake mmoja kuanza kukupanga na maelezo mengi ili wakutapeli..wananjia nyingi za utapeli moja anakuunganisha na jamaa anayejifanya anafanya kazi tamisemi na huyo jamaa anajifanya kama anataka kukusaidia upate kazi serikalini na njia nyingine ukishawatumia CV wanajifanya kuna shule ya private inakuhitaji mtu kama wewe na hapo ndo utapewa maelezo mengine ya ziada but lengo lao mwisho wa siku wakutapeli.....hayo matapeli yanatumia number hizi mbili...(moja inaishia 56 na nyingine 87)
Na ni wanachama wa ccm hao maana ndiyo kula yao ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom