Tahadhari: Kondomu Bandia Zauzwa Nchini

Tahadhari: Kondomu Bandia Zauzwa Nchini

Kwani ukichaa lazima upige kelele na kurushia watu mawe:biggrin:

Ndo nimejua kumbe hata kufanya mahanjamu ni ukichaa .........!
Maana ukijirekodi ukaja ukajiangalia matendo uliyokuwa unayafanya unaweza ukajikana mwenyewe.................!:nono:
 
Ndo nimejua kumbe hata kufanya mahanjamu ni ukichaa .........!
Maana ukijirekodi ukaja ukajiangalia matendo uliyokuwa unayafanya unaweza ukajikana mwenyewe.................!:nono:
Wacha kuongea mambo ambayo sijaongea, afu mtu mwenye akili zake vipi ajirecord si kichaa tu anafanya vile :biggrin:
 
KONDOMU zinazodaiwa kuwa ni bandia ambazo zilipigwa marufuku nchini Uingereza kutokana na kubainika kuwa hazina ubora unaotakiwa, zimetapakaa katika maduka mbalimbali ya dawa nchini, Mwananchi limebaini. Kondomu hizo ni Durex na Trojan ambazo zina vipele na uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa zinauzwa katika maduka mbalimbali ya dawa kwa bei ya Sh5,000.

Mwishoni mwa mwaka jana, Serikali ya Uingereza ilifanya msako mkali kwa lengo la kukamata mamilioni ya kondomu hizo, wakati ambao ilikuwa imepita takriban miezi 18 tangu zilipokuwa zimeingizwa nchini humo. Mdhibiti wa Dawa na Bidhaa za Afya wa Uingereza alinukuliwa akisema kuwa mamilioni ya kondomu hizo feki ziliingizwa kutokea Mashariki ya Mbali na kwamba tayari zilikuwa zimetumiwa na idadi kubwa ya watu.

View attachment 84578

Kondomu hizo zinadaiwa kutokuwa na ubora hali inayoweza kuongeza hatari kwa watumiaji kwa kusambaza kwa kasi magonjwa ya zinaa, virusi vya Ukimwi au kusababisha mimba zisizohitajika, hivyo kuharibu mikakati ya uzazi wa mpango.

Ofisa Habari wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Gaudensia Simwanza akizungumza na gazeti hili jana, alithibitisha kuwapo kwa taarifa za kondomu hizo za Durex na Trojan na kuongeza kuwa mamlaka hiyo imewaagiza wakaguzi wake kuzichunguza ili kubaini kama zina ubora ama la. “Wakaguzi walichukua sampuli ya kondomu hizo kwa lengo la kuzichunguza, nipe muda kidogo ili nizungumze na mkurugenzi ili kujua uchunguzi ule umefikia wapi,” alisema Simwanza.

Alipotafutwa baadaye alibainisha kwamba uchunguzi wa sampuli hiyo bado upo maabara na kwamba majibu yake hayajatoka. Hata hivyo hakusema ni lini yatatolewa.

Kwa upande wake, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Leandri Kinabo aliomba apewe muda ili afuatilie kujua ni kondomu za aina gani zilizowahi kukamatwa na kupigwa marufuku zisitumike.

“Nipe muda kidogo nifuatilie ili kujua zilizopigwa marufuku na ambazo tulizizuia kuingizwa nchini, nitafute mchana,” alisema Kinabo ambaye alipotafutwa baadaye alisema yuko kwenye kikao na kwamba alikuwa hajaweza kuwasiliana na watu wa maabara.

Hii siyo mara ya kwanza kuibuliwa kwa taarifa za kuwapo kwa kondomu feki nchini, kwani Desemba 20, mwaka jana kontena lililosheheni kondomu za kiume aina ya Melt Me kutoka nchini India lilikamatwa na kuzuiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, baada ya kubainika kuwa hazifai kwa matumizi.

Maofisa wa TBS walilazimika kufanya msako katika baadhi ya maduka ya dawa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua ya kuziondoa kondomu hizo katika soko.

Source: Mwananchi

Kama ninavyosemaga siku zote. Hii nchi ni nchi ya majaribio kwani watafutaji haramu wako wengi mno na idara husika za serikali hazifanyi kitu mpaka tatizo litokee ndo utasikia oh sijuwi nini, mara tutafanta sijuwi nini.....yaani basi tu tumwombe Mungu atunusuru.
 
Wacha kuongea mambo ambayo sijaongea, afu mtu mwenye akili zake vipi ajirecord si kichaa tu anafanya vile :biggrin:

Mie naongea mambo yangu siongei uliyoongea, Ndo maana hata uwe na PHD za idadi yeyote ukifikia katika shughuli hii lazima unakuwa kichaa kwa lazima.........!
Makava yote unayatupa kule bila kujali lolote.............teh teh teh..........................:bump2:
 
Hapo nakubaliana na wewe lakini ukienda kihalali:biggrin:
 
Hahahaha sasa hapo nna swali, Kwa hiyo hata kwa halali ukichaa upo?.................teh teh teh....!:becky:
Hapa si unajua tena unakuwa kwenye anga la peponi lazima uwe kichaa tu :biggrin:
 
:biggrin::biggrin: Teh teh withdraw method inahitaji utaalam, halafu kama mkeo ni mchunguzi anaweza bwatuka kicheko jinsi unavyo jinyonga nyonga na kukunja lisura wakati unawithdrwaw teh teh teh.................!😛layball:
Basi na mie ndio mtaalamu na wala haina hiyokitu ya kuharibu sura. so wewe watumia method gani?? usinambie Condom na wakati unampa mwenzio unnecessary fangas na pia au ndio anachoma zile sindano zinazootesha vitambi kwa kina mama?? am waiting for your response buddy.
 
Kama una mke wako sidhani utababaika kutafuta condom.Wanao tafuta condom ni wale vichaa wasio tulizana na wake zao au hawataki kuoa.Wapumbafu watabaki kuwa wapumbafu tu, kwani condom nani amezipa mtaji kama sio vichaa wasio tulizana na wake zao, au wasio tafuta mke wakaoa :biggrin:
Kwani kwenye ndoa condom hazitumiki, nyota ya kijani huko kwenu haipo
 
Hapa ndio utajua TFDA na TBS hawna wanacho fanya cha muhimu zaidi ya kupokea mishahara mwisho wa mwezi!

Hivi inawezekanaje kuingia condom bandia au kuingia ARV's bandia wakati kuna hivyo vyombo?
 
Basi na mie ndio mtaalamu na wala haina hiyokitu ya kuharibu sura. so wewe watumia method gani?? usinambie Condom na wakati unampa mwenzio unnecessary fangas na pia au ndio anachoma zile sindano zinazootesha vitambi kwa kina mama?? am waiting for your response buddy.

Mie na-use withdraw method na kucheck kalenda ya mpenzi.......! ni mtaalam balaa ,
Kwa hiyo unataka kuniambia wakati unatoa wazungu huwa unacheka, haukunji sura............!:dizzy:
 
Mie na-use withdraw method na kucheck kalenda ya mpenzi.......! ni mtaalam balaa ,
Kwa hiyo unataka kuniambia wakati unatoa wazungu huwa unacheka, haukunji sura............!:dizzy:

hahahaaaaaaaaaaaa!!!kaka pale huwa sura haikunjwi ila inachachuka kwa rahaaaaaa!! Au wasemaje kaka??
 
Back
Top Bottom