Tahadhari: Kondomu Bandia Zauzwa Nchini

Kama una mke wako sidhani utababaika kutafuta condom.

Wanao tafuta condom ni wale vichaa wasio tulizana na wake zao au hawataki kuoa.

Wapumbafu watabaki kuwa wapumbafu tu, kwani condom nani amezipa mtaji kama sio vichaa wasio tulizana na wake zao, au wasio tafuta mke wakaoa :biggrin:
tema mate chini.kuna watu walijiamini 100%hawawezi kupata huo ugonjwa, kwa kujiona wapo ndani ya ndoa ambao kuna uaminifu. kwa sasa ni hiv positive.
 
njia rahisi ya uzazo wa mpango ni condom
na sio madawa, vitanzi nk hizo ni hatari mno, madaktari wenyewe hawatumii zaidi ya condom
tukubali condom zinatumiwa na watu wote hata walio katika ndoa,
hizi feki ni hatari kwa wote, nawashangaa walio kwenye ndoa mnatumia nini au ndo mnajidanganya na safe dates tu????
tuache unafiki
 
Kama una mke wako sidhani utababaika kutafuta condom.

Wanao tafuta condom ni wale vichaa wasio tulizana na wake zao au hawataki kuoa.

Wapumbafu watabaki kuwa wapumbafu tu, kwani condom nani amezipa mtaji kama sio vichaa wasio tulizana na wake zao, au wasio tafuta mke wakaoa :biggrin:
waliooa ndo wako hatarini..jombaaa usitutishe tulioooa..couples kibao zinadanjwa kwa huyu mdudu..hata wewe mwenyewe unajua..kama mkeo analiwa nje?au wewe unamega nje..si wote munaleta mdudu..ndani..wote ngoma droo..wa kwenye..ndoa ndo mnarisk kubwa...amini hivyooo
 
Mkubwa wabembelezaji ni siye wenyewe unanyenyekea mpaka basi kisa upate kile kipenyo dah..............!
Basi dunia nzima vichaa na wendawazimu...............!:A S shade:
Hivi mtu mwenye akili sawa sawa atazini nje ya ndoa, kila anaye zini nje ya ndoa ni kichaa na kila anaye zini kabla ya ndoa ni kichaa:biggrin:
 
tema mate chini.kuna watu walijiamini 100%hawawezi kupata huo ugonjwa, kwa kujiona wapo ndani ya ndoa ambao kuna uaminifu. kwa sasa ni hiv positive.
Sijakataa sababu wengine wameoa ndoa bada ya kusex na wengine mpaa wamezaa ndo wameowana, wangekuwa walijizuia toka mwanzo hawajasex nadhani wasinge toka nje ya ndoa.

Kila binadamu na tabia yake ukioa mwanamke kisha chezea sex toka mwanzo, au mwanaume kisha chezea wanawake kabla ya kuoa sidhani hapo kuna usalama:A S shade:
 
waliooa ndo wako hatarini..jombaaa usitutishe tulioooa..couples kibao zinadanjwa kwa huyu mdudu..hata wewe mwenyewe unajua..kama mkeo analiwa nje?au wewe unamega nje..si wote munaleta mdudu..ndani..wote ngoma droo..wa kwenye..ndoa ndo mnarisk kubwa...amini hivyooo
Kelele za walevi zitaishai bar tu, sina wasi wasi na mke wangu na sidhani kama walevi wanaweza kufanya hata siku moja nisimuamini mke wangu...I love my wife andI'm proud to say it, namshukuru sana Mungu kwa kunipa mke niliye ridhika naye, nisipo mshukuru Mungu takuwa nimekufuru hapo :biggrin:
 
nakupa pongezi kwa hilo mkuu..lakini asije tumia uaminifu kwako kama sababu...ya..kuanguka au udhaifu..ikiwa kivuli chako chenyewe hua kinapoteaga..sasa..nashangaa unaposema maneno hayo ya kumuamini binadamu mwenzio..lakini haya ni maneno tu hata kwenye kanga yapo..ova...
 
Siwezi kufanya ujinga huo condom zote zina chemical, lazima ni uthamini mwili wa wife wangu, nitacheza mchezo wa kawaida withdraw methord-pulling out:high5:

unastahili like mkuu maana kama mie na my wife tunatumia kalenda na withdraw kwenye danger zone na maisha ye2 yanaenda kama 2navyopanga. Wanaotumia izo vi2 (kwa wanandoa) they show sense of irresponsibility coz kama upo responsible u'll be able 2 trace all the moves u make. I've made it simple nimeweka table kalenda rum so all the days are countd and marked. Ni bora kwa kila mtu ajijali,ajithamini na pia amthamini mwenzie kwani dunia ni chafu na hizi kemikali zinatumaliza.
 
Ili uwe huru like a molecule in the air.

Kamanda wako watu waovu zaidi duniani wanaishi kwa amani, Mungu anawapa amani wote tu!!
Sasa hili linatisha sasa Mungu wetu atukumbuke...au wewe hutaki?
Madhara yako mengi si kwa yule anae upata kwa ngono tu...unaweza kuambukizwa na mkeo au mumeo asikuwa muaminifu na hakutumia kondom..au mtoto akazaliwa nao akaishi maisha yake yote na VVU...bado huoni dunia inatakiwa kuonewa huruma sasa na alieiumba?
 
kondom ninazoziamini siku zote ni SALAMA tu!! haya ma-imported huwa siyakubali,,,pamoja na garama zake kuwa kubwa........pia kondom kama Dume nna kesi nao soon!!zinapasuka sijawahi ona....

dah! Mkuu inaonesha kuwa wewe ni bonge la performer. Watch out ndg na hizo kesi za flat tyrea.k.a kutembelea ringi
 
nakupa pongezi kwa hilo mkuu..lakini asije tumia uaminifu kwako kama sababu...ya..kuanguka au udhaifu..ikiwa kivuli chako chenyewe hua kinapoteaga..sasa..nashangaa unaposema maneno hayo ya kumuamini binadamu mwenzio..lakini haya ni maneno tu hata kwenye kanga yapo..ova...
Eti kanga we uandhani wote wameoa bar au barabarani :biggrin:
 
Hivi mtu mwenye akili sawa sawa atazini nje ya ndoa, kila anaye zini nje ya ndoa ni kichaa na kila anaye zini kabla ya ndoa ni kichaa:biggrin:

Dah basi mie nshakuwaga kichaa siku nyingi tangu nasoma, maana nimezini kabla ya ndoa teh teh teh ...............:tape2:
 
unastahili like mkuu maana kama mie na my wife tunatumia kalenda na withdraw kwenye danger zone na maisha ye2 yanaenda kama 2navyopanga. Wanaotumia izo vi2 (kwa wanandoa) they show sense of irresponsibility coz kama upo responsible u'll be able 2 trace all the moves u make. I've made it simple nimeweka table kalenda rum so all the days are countd and marked. Ni bora kwa kila mtu ajijali,ajithamini na pia amthamini mwenzie kwani dunia ni chafu na hizi kemikali zinatumaliza.

:biggrin::biggrin: Teh teh withdraw method inahitaji utaalam, halafu kama mkeo ni mchunguzi anaweza bwatuka kicheko jinsi unavyo jinyonga nyonga na kukunja lisura wakati unawithdrwaw teh teh teh.................!:playball:
 
Back
Top Bottom