sheria udsm wameshaaply zaidi ya watu 1400 wanahitajika watu 61 tu, sheria mzumbe wameaply zaidi ya 1000 wanaohitajika hawafiki mia na 70, transport and logistic management national instute of transport wameaply watu zaidi ya 2000 wanahitajika watu 55 tu , human resources mzumbe wameshaaply zaidi ya 1000 . ANGALIZO kama umeaply hizi coz na una marks za kubabaisha naongelea kuanzia one ya 6,7, nakuendelea jiandae kuumia. Weka coz za vyuo visivyokua na ushindani. All the best! #victor
Hebu tuambie pia ni wangapi walio eligible na ni wangapi wamechagua kama first choice,hapo tunaweza kucheza na probability
Hebu tuambie pia ni wangapi walio eligible na ni wangapi wamechagua kama first choice,hapo tunaweza kucheza na probability
ingia kwenye myprofile > application status > sogeza mouse kwnye code ya io coz utayaona ayo maelezo (usiclick)
mkuu vvm, niambie eti kuna watu wakiingia kwenye 'my profile' view my selection status wanakuta course walizo chagua zipo proccessed au ni uongo?