Tahadhari: Huu ni msimu wa nyoka!

Hahahah!
Mkuu refer kobe maji waotoka Australia kuja Tz kutaga wanaacha mayai yenyewe yanajiangua watoto nao wanaenda Australia πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Unamaanisha kasa?? Kobe maji
 
Kaka mshana hii dawa ya kuzungushia nyumba kwa ajili ya kuwafukuza nyoka wapi inapatikana.?
 
Huajenga bado yakwako?!!
 
Niliwahi sikia kuna nyoka anaitwa ndumilakuwili huyu nyoka ana vichwa viwili na vyote vinaweza kumgogonga mtu, ni kweli?
 
Hii tahadhari kama inahusu kipindi cha joto, nadhani watoaji taarifa wamewahi au kuchelewa kutoa maana hii ni November to December ambapo tunajua kipindi hiki kikoje kijiografia.
 
Me nilikuta kitoto cha nyoka ndani bafuni hio inaashiria nini? Yaan kuna mama yao ndani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…