Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
Watu wengi wamesema mafuta ya taa, oil chafu nk... ila kwa kawaida kama unatakiwa umwagie kwa kuzunduka nyumba nzima na hauwezi mwaga kila mahali... Mafuta yana harufu kali.. Na oil ni uchafu..Naomba wajuvi mtuambie ni dawa gani itasaidia kuwapunguza kama siyo kuwafukuza kabisa hawa wadudu?inatisha sana maana nyumbani watoto bado wadogo na ijumaa ya week iliyoisha nilipigiwa simu mchana kwamba wamemuona huyu nyoka wa kijani aki-survey maeneo ya nje ya nyumba.
Nimeuliza watu nilio nao karibu wananiambia oil chafu inasaidia sasa sijui ni kweli!
Kuku, paka, na mbwa wote muhimukama uko mashambani dawa yao ni kufuga kuku tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nilihisi washaingia tayari. Sasa sijui kwamfano inatokea nimewasha then nikamuona hali inakuwaje[emoji134][emoji134][emoji134]
Hadi usiku nimeota manyoka nyoka walah!! Mshana Jr sio mtu mzuri.
uzuri wa kuku huwa wazunguka na kupekua pekua kila mahali kwahiyo nyoka, tandu, nge lazma waumbuliweKuku, paka, na mbwa wote muhimu
Kijijini kwetu hua nawaona sana yani mmekutana tu ghafla yeye huyo anaondoka zakekUNA NYOKA MWINGINE HATARI wengi hawamjui. Ni kama mwoga ila ukimchokoza ndio asili yake hujionyesha. Green Mamba ni yule nyoka wa kijani. Sifa zake ni kama Black Mamba. Ila Wengi humuita nyoka wa kijani. Ni mpole na kama mwoga vile mana unaweza mkaribia yeye akakukimbia. Ila ukimfuatilia zaidi au akajua unataka kumdhuru ndio dhoruba yake huanzia hapo. Tabia yake inakuwa kama Black mamba.
Black mamba ndio huyo ngoboko, Anakuwa mkali pale unapomuingilia kwenye makazi yake...Anaweza kung'ata mara nyingi kwasababu meno hake hayochomoki, na yuko chapu sana (Kuna nyoka wengine wakikung'ata wanakuachia meno, hawa mara nyingi hawana tabia ya kung'ata sana kwa kuhofia kupoteza meno yao)Ahsante mkuu nimesoma kiundani kumbe neno MAMBA ni jamii ya nyoka flani ndio sasa kukawa na Black Mamba na Green Mamba.Sasa najiuliza hawa nyoka wa kijani wapole na wembamba tunaokutana nao majumbani ni green Mamba?
Mkuu kuna nyoka mwenye sifa ya hatari Tabora anaitwa Koboko je ndio black mamba.
Hongera wewe ni herpetologist mzuri
Ahsante kunijuza ila Black Mamba anatisha sifa zake kuwa anauma mara nyingi.
Ila anaonekana hapendi bugha ya binadamu bila hivyo wangekuwa wanaingia majumbani watu wangekufa sana
Green mamba siyo wale tunaowaona kwenye bustani zetu. Wale green mamba hawana black dots na ni wakali hawa wamajumbani wenyewe ni mijusi na wadudu wadogo. Sumu yao unaweza kuishi siyo kama green mamba wana sumu kama cobra 20 min. you are agone..Ahsante mkuu nimesoma kiundani kumbe neno MAMBA ni jamii ya nyoka flani ndio sasa kukawa na Black Mamba na Green Mamba.Sasa najiuliza hawa nyoka wa kijani wapole na wembamba tunaokutana nao majumbani ni green Mamba?
Mkuu kuna nyoka mwenye sifa ya hatari Tabora anaitwa Koboko je ndio black mamba.
Hongera wewe ni herpetologist mzuri
Ahsante kunijuza ila Black Mamba anatisha sifa zake kuwa anauma mara nyingi.
Ila anaonekana hapendi bugha ya binadamu bila hivyo wangekuwa wanaingia majumbani watu wangekufa sana
Yaani nyoka mie hata picha yake sitakagi kuiona mwili unasisimka kabisa. Bora hata mijusi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukaota inakukimbiza?? Yesu wangu kama nakuona sijui ungezimia,, mimi mijusi tu naiogopa nikiiona kwa karibu roho inataka kunitoka sembuse minyoka[emoji2296][emoji2296]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nilihisi washaingia tayari. Sasa sijui kwamfano inatokea nimewasha then nikamuona hali inakuwaje[emoji134][emoji134][emoji134]
Hadi usiku nimeota manyoka nyoka walah!! Mshana Jr sio mtu mzuri.
Yaani nyoka mie hata picha yake sitakagi kuiona mwili unasisimka kabisa. Bora hata mijusi.
Nadhani na sina shaka hii itakuwa njia nzuri.Watu wengi wamesema mafuta ya taa, oil chafu nk... ila kwa kawaida kama unatakiwa umwagie kwa kuzunduka nyumba nzima na hauwezi mwaga kila mahali... Mafuta yana harufu kali.. Na oil ni uchafu..
Njia rahisi ni kuchoma tairi la gari kwa kuhakikisha moshi umesambaa eneo lote la nyumba... Unaweza kufanya hivi kila baada ya miezi miwili au mitatu kama eneo ulilopo kuna nyoka nyoka
Huyu ameshawahi kuniumaNilimkuta gheto... Mama ake na msaka vibaya mno. View attachment 1265438