Najuuta kuufungua huu uzi usiku, hizo picha hadi nimewasha taa[emoji134][emoji134][emoji134]
Mkuu kutokujua haimaanishi wewe ni mpumbavu.. Unaweza tu kukubali ulikuwa hujui, na hakuna binadamu anaejua kila kitu... Naomba nikufahamishe mimi nyoka nacheza nao nawajua tabia zao zaidi ya unavyofikiri..
Nilimkuta gheto... Mama ake na msaka vibaya mno. View attachment 1265438
Asante Kwa angalizo mkuu, nyoka ni kiumbe hatari sana, hata tandu ni hatari pia. Ngoja nikatafute oil chafu ..
Naomba wajuvi mtuambie ni dawa gani itasaidia kuwapunguza kama siyo kuwafukuza kabisa hawa wadudu?inatisha sana maana nyumbani watoto bado wadogo na ijumaa ya week iliyoisha nilipigiwa simu mchana kwamba wamemuona huyu nyoka wa kijani aki-survey maeneo ya nje ya nyumba.
Nimeuliza watu nilio nao karibu wananiambia oil chafu inasaidia sasa sijui ni kweli!
kama uko mashambani dawa yao ni kufuga kuku tuHii inatuhusu kwa siye tunaoishi shamba, tunauzingatia ushauri huu. Mahali nilipo kuna wadudu kama tandu wakubwa, weusi nao ni hatari; siku moja nilimkuta kibarazani amejificha na kuzaliana kwenye madumu ya maji ambayo hayaguswi, tuwe makini.
Najuuta kuufungua huu uzi usiku, hizo picha hadi nimewasha taa[emoji134][emoji134][emoji134]
Mimi nilimkuta chin ya Fridge
Nilikimbia jaman
Tandu nao wamekuwa wengi sana
1.Angalizo msije dhani black mamba aliitwa hivyo vile mweusi la hasha wapo black mamba wa kijani.
Waliitwa hivyo sababu ufizi wao ni mweusi sio mwekundu.
2.Ni kweli mafuta ya taa na jamii za petrol ni kero kwao sana na mafuta ya samli.Ukifanikiwa kumpaka mwilini anapata hasira mno atakutafuta kukushambulia ila ukweli baadae atakufa lazima
Mahali popote penye maoil yaliyomwagika garage au petrol station uliza wameshawahi ona nyoka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki nimecheka,, uliwasha ili watakapoingia uwaone vizuri..
Boss Mshana Jr ebu tupe ufafanuzi kwann hii hali ya kuogopa nyoka hutokea bahadhi ya watu kwa kiwango hiki??Najuuta kuufungua huu uzi usiku, hizo picha hadi nimewasha taa[emoji134][emoji134][emoji134]
Ahsante mkuu nimesoma kiundani kumbe neno MAMBA ni jamii ya nyoka flani ndio sasa kukawa na Black Mamba na Green Mamba.Sasa najiuliza hawa nyoka wa kijani wapole na wembamba tunaokutana nao majumbani ni green Mamba?Mkuu kutokujua haimaanishi wewe ni mpumbavu.. Unaweza tu kukubali ulikuwa hujui, na hakuna binadamu anaejua kila kitu... Naomba nikufahamishe mimi nyoka nacheza nao nawajua tabia zao zaidi ya unavyofikiri..
Nimesoma vitabu zaidi ya 6 vya reptiles na hakuna hata kimoja kimesema kuna BLACK MAMBA wa kijani
Nimewaona Black mamba, Tabora, Mikumi, serengeti, Arusha (Metheran snake park), Snake park ya Mji wa Mikumi, Mwanga... Hakuna sehem nimeona wa kijani
Hata saivi ukienda google watakuambia rangi ya Black mamba kuanzia mtoto inakuwa Grey adi anapevuka inakua dark brown
ata kama ikitokoea ana tatizo la "Melanism Pigmentation" hawezi kuwa GREEN...
Acha story za vijiweni, Tembelea vivutio ujifunze