Kila leo nmb wanawatumia msg wateja wao kuwa usimuambie mtu yeyote details zako kwa simu, hata mtoa huduma kwa wateja. Na bank zingine hazitumi msg. Wateja wa nmb wamezidi bwana! Unakuta mtu kwenye atm anakumbia nisaidie kutoa hela anakupa password kwenye kikaratasi!
Kila leo nmb wanawatumia msg wateja wao kuwa usimuambie mtu yeyote details zako kwa simu, hata mtoa huduma kwa wateja. Na bank zingine hazitumi msg. Wateja wa nmb wamezidi bwana! Unakuta mtu kwenye atm anakumbia nisaidie kutoa hela anakupa password kwenye kikaratasi!
Tuwajulishe ndugu zetu, pesa zao zinateketea hapo NMB!
Acha bifu na NMB, wizi wa mtandao upo kila benki, hata hivyo NMB wamekuwa wakituma ujumbe kila wakati kwa wateja wake msitoe namba za siri kwa mtu yeyote bado hamsikii mi nasema acha wawaibie tumechoka sasa.
Watanzania tuamke mtu anakupigiaje simu humjui halafu unaanza kumpa taarifa zako bila mpagilio? Hakuna sababu ya kuwalaumu wafanyakazi wa benki hizo hela zinaibwa kwa kuhamisha kwenye either ATM au Mobile banking na mtu hawezi kufanya hivyo bila ya kuwa na password yako sasa kama we umetoa mwenyewe password unalaumu nini?
nmb wanatujari sana kwa kutupa taarifa,vinginevyo ujinga wa mteja...
usilolijua ni kama usiku wa gizaSi hivyo tu,ukilipia huduma kama LUKU kwa NMB Mobile itakuonyesha umekosea tu ili urudie mara ya pili na ukifanya hivyo unakuta salio katika account yako limekatwa mara zote mbili na hiyo pesa hawarudishi wanaziiba watu wa benki. Ulipeleka malalamiko wankuzingua mpaka utakata tamaa,watumishi wa NMB kweli sio waaminifu.
Waalimu maskini hawajui!
Waalimu maskini hawajui!
Kuna wizi unaendelea kwa wateja wa NMB Mobile Banking, Unapigiwa sim na watu wanakudadisi infomation zako wakijifanya watu wa TCRA then Line yako ina fanyiwa Swap kwa kufojiwa kitambulisho cha kupigia kura, then wana hamisha salio kwenye akaunt yako ya bank kwa kutumia MPesa, Tigo, Airtel Money nk,
Kama hujajiunga na Mobile bank wanatafuta line yao wana kuunganisha wanaanza kufanya miamala kutoka kwenye account yao.
Kua makini, angalia statement ya akaunt yako NMB Mobile Bank Department imeoza!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums