Tahadhari abiria wa mabasi ya Happy Nation

Tahadhari abiria wa mabasi ya Happy Nation

Happy nation..
Sky line..
Hai express..
Ni kampuni moja,unaweza kukata tiket ya luxury kwenye happy nation,utapandshwa skyline au hai express mbovu.
 
Happy nation sauti ya manka.... Ndio baba lao huko mbeya.. Speed 120 mwanzo mwisho. Au imeshakufa?
 
champion nao wamo, wana gari yao moja luxury ukienda kukata tiketi wanakuonesha picha yake ili iwe rahisi kukurubuni. Tajeni kampuni zingine zisizofaa tuwaadhibu kwa kukosa abiria. Kwa wale wa mbeya mabasi New force ni mazuri.
 
Asante kiongozi kwa mchango wako
 
na kuna wenginne wanaitwa Hanai wapo route ya dar singida.mabasi yao yamekufa zamani lakini bado wanakatisha ticket halafu siku ya safari unafaulishwa kwenye basi jingine
 
na kuna wenginne wanaitwa Hanai wapo route ya dar singida.mabasi yao yamekufa zamani lakini bado wanakatisha ticket halafu siku ya safari unafaulishwa kwenye basi jingine

Asante kiongozi tuendelee kuwaanika hawa matapeli ili abiria wawaepuke
 
na kuna wenginne wanaitwa Hanai wapo route ya dar singida.mabasi yao yamekufa zamani lakini bado wanakatisha ticket halafu siku ya safari unafaulishwa kwenye basi jingine

Hao Hanai walishanichefua sana
Wanakatisha tiket kwa bei 35,000 halaf baadaye unafaulishwa kwenye magari ya 28,000
TAHADHARI:
Hakuna mabasi ya HANNAI, siku hizi wanafugia kuku
Angalieni msije dhurumiwa
 
Pole sana kiongozi,kampuni nyingine za wahuni ni princess muro,luck star, bestline na super najimunisa kwa route ya dar-mwanza usilogwe kukata ticket hapo,asubuhi utalia machozi ukifika ubungo. Kwa sasa the best company ni new force wako very smart n bus zao mwendo mdundo
 
mimi sijawahi kukata tiketi ofisini...ni lazima konda anionyeshe siti yangu nikiwa ndani ya gari ndipo natoa pesa nikiwa tayari nishakalia siti yangu....kifupi ukifanya hivyo huwezi pata usumbufu labda tu yale mambo yao ya kugombanisha abiria kwa kuuza siti moja kwa watu wawili au zaidi.
 
polen sana hata mi princes muro walinifanyia huo upuuzi sikujua kma ndio styli yao ilikua DAR TBR kwa 40tsh nikapelekwa sabena 30tsh .polen
 
Hawa jamaa wataharibu biashara kwa huu upuuzi,na ukute tajiri hajui ila mameneja na makonda
 
Happy nation sauti ya manka.... Ndio baba lao huko mbeya.. Speed 120 mwanzo mwisho. Au imeshakufa?

!
!
voice of Manka na kuna mziki mwingine wa Abood.....ni noma noma noma,ila naskia kuna mziki wa majinja pia nao si mchezo
 
!
!
voice of Manka na kuna mziki mwingine wa Abood.....ni noma noma noma,ila naskia kuna mziki wa majinja pia nao si mchezo

hii majinja nuksi balaaa!
Hood ya mbeya-arusha nayo ni habari nyingine mwendo mdundo!
 
Back
Top Bottom