Tahadhari abiria wa mabasi ya Happy Nation

Tahadhari abiria wa mabasi ya Happy Nation

Mmmh happy nation? mkuu usirudie tena hayo magari huduma zao ni mbovu wazembezembe tu,mara ya kwanza nilipanda ya dodoma tukakoswa koswa na ajali mara mbili, mara ya pili tena likaisha mafuta njiani na kuna ndugu zangu walilazwa njiani gari liliharibika,tena niliwaambia mmepanda happy nation mtajuta na kweli yakawatokea.
Kampuni ya Happy Nation imeamua kwa makusudi kutumia mbinu chafu kutengeneza pesa toka kwa abiria kwa kuwakatia tiketi kwa bei ya luxury na kisha kuwapandisha abiria kwenye mabasi machakavu ya kampuni zingine ya bei rahisi huku happy nation wakila cha juu.

Uchafu huu hufanyika huku uongozi wa kituo cha mabasi Ubungo ukiwa unajua bila kuchukua hatua yoyote. Uhuni huu hufanyika hasa kwa safari za Dar - Mbeya ambapo abiria hukatiwa tiketi kwa sh.45, 000/ kisha hupakiwa kwenye mabasi mabovu ambayo pengine yasingepata abiria hata kwa 20, 000/-

Huku uongozi wa kampuni ya happy nation ukijifanya ni dharura imetokea kumbe ni biashara haramu. Ndugu zangu kuweni makini na kampuni hii ili muepuke usumbufu ulionikuta.
 
Ndugu yangu ulichokisema hapa ni ukweli mtupu,yaani mimi mwenyewe walishawahi kunifanyia huo uhuni na nilikuwa naenda Dodoma,niliapa kuwa sitakuja kusafiri tena na hayo mabasi yanayojiita Happy NATION,ni wapuuzi mno hao jamaa,nashukuru kwa kulileta hilo suala hapa....
 
kampuni ya happy nation imeamua kwa makusudi kutumia mbinu chafu kutengeneza pesa toka kwa abiria kwa kuwakatia tiketi kwa bei ya luxury na kisha kuwapandisha abiria kwenye mabasi machakavu ya kampuni zingine ya bei rahisi huku happy nation wakila cha juu.

Uchafu huu hufanyika huku uongozi wa kituo cha mabasi ubungo ukiwa unajua bila kuchukua hatua yoyote. Uhuni huu hufanyika hasa kwa safari za dar - mbeya ambapo abiria hukatiwa tiketi kwa sh.45, 000/ kisha hupakiwa kwenye mabasi mabovu ambayo pengine yasingepata abiria hata kwa 20, 000/-

huku uongozi wa kampuni ya happy nation ukijifanya ni dharura imetokea kumbe ni biashara haramu. Ndugu zangu kuweni makini na kampuni hii ili muepuke usumbufu ulionikuta.

tatizo watz ni watu wa kulalamika tuu!nao wanalijua hilo kwamba mnalalamika mwisho mtatulia!!ni wakati wa kuanza kujifunza kudai haki yako!kulalamika tu hakusaidii!
 
tatizo watz ni watu wa kulalamika tuu!nao wanalijua hilo kwamba mnalalamika mwisho mtatulia!!ni wakati wa kuanza kujifunza kudai haki yako!kulalamika tu hakusaidii!
Mbalamwezi mimi sijalalamika ila nilikuwa nawataarifu wengine waepuke hawa wahuni.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom