frakitosho
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 802
- 256
- Thread starter
- #21
Gari lenyewe siti zimebanana kweli cjui ni 3 by 3....iyo siti karibia na dereva ndo usiombe....ovyo kwanza ina heat kinoma
Ni 3 by 2 mkuu ila gari ni chafu sana na bovu kinoma. Yaani hii tambarare ya mlandizi inanguruma utadhani ndio tunapanda kitonga.
