ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,678
- 127,465
Ndio yule mchagga uliyesema?๐๐๐Acha tu eee mwaya ๐๐๐
Akilewa ndo yuko hivo
Ndio yule mchagga uliyesema?๐๐๐Acha tu eee mwaya ๐๐๐
Akilewa ndo yuko hivo
Huyo kavuka level ya mode ni server kabisa hata ukifuta record anayo ๐๐๐Sio mode?
Huyo huyo mtani wako ๐๐๐Ndio yule mchagga uliyesema?๐๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi mtu kani PM, joined April 2011, post 425.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na jf ina IDs nyingi, unashangaa mtu anakuita hata hujawahi kuona id yake afu member toka enzi ya TANU uko,
Tulia basi, yaishe but sina pdf wala chochote[emoji23]Mbona yako huweki? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nina pdf lako ujue
Yaani Leo kanipa Raha sana,,halafu hajui umbea anasema Hadi aliyemwambia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Huyo kavuka level ya mode ni server kabisa hata ukifuta record anayo ๐๐๐
Ndiyo tayari Joanna amekupa code hapo juuMaua? Huyo ni member?
Ww hujui watu vizuri walivyoHafaniii hata kidogoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐ Acha tu kuna mtu kanikalia kooni shemeji yake hata sijui kwa nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi mtu kani PM, joined April 2011, post 425.
Nilichokaaa, mkamuuliza I'd yako maarufu ni ipi? Hajajibu had sahiv.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefika shem๐คฃShem umefika? ๐๐๐
Anapiga mbege? Au anapiga vanga? Hawa watani zangu kwa ulabu mungu kawakirimia๐Huyo huyo mtani wako ๐๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo unataka kusemaje? [emoji23][emoji23][emoji23]
We nipo karibu yako hapa usianze kujifanya uko single!! Au nawe unataka kuiga tabia za babu wa TAMISEMI
Sina cha kuumbuliwa, lakini pia mm ya yy hatuwezi fika huko. Tunaheshimiana kuliko kawaida, tatizo letu haliwezi kuwa hadharani hata siku moja[emoji23]Muumbue na yeye bhanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuzoom unataka kujipa wizara ๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23]
Ningekukosa hapa ๐Ndiyo tayari Joanna amekupa code hapo juu
[emoji23][emoji23][emoji23] najua kuna unafikii humu, ila kwa extro sikutegemea kabisa.Ww hujui watu vizuri walivyo
Mie niliambiwa mnatunga meseji za uongo kuchafua watu๐คฃWatu wabaya sana. Mm nimekubali lawama lakini mjue walivyo wakiwa huko
Ndio maana nikiwa nazozana na mtu huku wala sio uongo inakua ni kweli kabisa ndio maana wanakuwaga wapole sana wanajua tayari washajulikana tabia zao
Mbege kamix na castle lager ya moto ๐๐๐Anapiga mbege? Au anapiga vanga? Hawa watani zangu kwa ulabu mungu kawakirimia๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaje tumuhojii vizurii atuelezee.[emoji23][emoji23][emoji23] Acha tu kuna mtu kanikalia kooni shemeji yake hata sijui kwa nani?
Naelewa shemelaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina cha kuumbuliwa, lakini pia mm ya yy hatuwezi fika huko. Tunaheshimiana kuliko kawaida, tatizo letu haliwezi kuwa hadharani hata siku moja[emoji23]