Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,203
Atakusuuza shauri yako ๐๐๐Ngoja aje anichambe maana akili zake azijua mwenyewe ๐๐๐
Atakusuuza shauri yako ๐๐๐Ngoja aje anichambe maana akili zake azijua mwenyewe ๐๐๐
Tatizo hukuweka screenshot zote[emoji23][emoji23] usiwe unanilazimisha kuingia jf bana, napoteza time sana maana naona kila mtu anashangaa mambo ambayo yapo wazi[emoji23][emoji23]
Kila nikitaka kutoka naona sijamaliza[emoji23]
Najua how to handle her brain๐คฃ๐คฃ๐คฃAtakusuuza shauri yako ๐๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23] sema yamepita tu leo sijui nani kakumbusha hiliWe wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kantry taratibu emu usinigombanishe na cazee wangu
Hii crew yenu sio poa aisee๐๐.๐คฃ๐คฃ๐คฃKiboko ndio hiyo nakunywa hapa.....
PowaKalale iko kidude nipe nikusaidie kumalizia [emoji23][emoji23][emoji23]
Jifariji akifika usitoke nduki ๐๐๐Najua how to handle her brain๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hapa sio PM,,hao ni mambo hadharani ubuyu umemwaga kwenye wall๐๐Hii crew yenu sio poa aisee๐๐.
Ukitaka ufurahie life la pm, usikubali mazungumzo ya kuwasema watu๐๐
Mbona yako huweki? ๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23] sema yamepita tu leo sijui nani kakumbusha hili
Ila hizi tabia bila kusemwa watu hawaachi, humu watajifanya wema Ila wakiwa pembeni wanakua wanafki
Sasa hivi itapungua hii maana watakua hawaaminiani
Msimwite jamani๐Jifariji akifika usitoke nduki ๐๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna cmuonei wivuu eti?Wivu huo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona me Kantry kabeba mademu km sita na sijali nadunda
Yeye ndio ananilazimisha sana kuingia huku[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo kazi unayo....mnyang'anye simu shemeji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatarii tupuuCoca nani amekupa ajira na mimi nikaombe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ua la kipekee change it to English shemeji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] akilalamika sana halafu saa hizi kamblock
๐๐๐ babu akikumata hakuachi mpk akumimbike udugu sio kwa vayolensi hiziAnajiona Paul Kagame wa Bongo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo mbali huyo kasafiri kama kawaida yake[emoji23]Chukua simu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimepitia convo zenu, naona huko pm kunawaka moto๐๐Hapa sio PM,,hao ni mambo hadharani ubuyu umemwaga kwenye wall๐๐
Basi yameisha[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzii utafungwaa, shem acha bhana.
Hafaniii hata kidogoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo ndio ukweli
Ni vodkaWaoooh,ila shemeji inaonekana ni kikali hicho maana umechomoa sana betri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]