Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 9,786
- 18,972
Uzi mzuri sana, unatufumbua macho kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakupa maana, usijali.Nijikaze kivipi
Mzima tu sijui wewe
huu ubishi ni nyuma ya keyboard tu dear, in real life mie ni mpole sema tu ndiyo vile sipendi kuonekana mpole naogopa nitaonewa.
🤣🤣🤣yaaani hadi apa bado anabisha
kwa mara ya kwanza ume behave ki upole...
leo ni lini hivi? ooooh n J5 basi ndio maana...
Nitakupa maana, usijali.
Lakina naupenda ubishi wako wa humu
Mama Beijing naomba urudi kule Kwenye comments za kiarabu za ostaz wako,chini Yake nimeweka sifa yako kule.shukrani
Without dialogue, there is no dialectic.KENZY hivi huyu jamaa ulimpa sifa gani eti? asee hujakosea maana
akikujibu kitu lazima tu akujibu kwa namna ambayo itaanzisha dialogue...
sasa akikutana na yule mzee wa tit for tat,uzi wote unageuka wa watu wawili tu.
Mama Beijing naomba urudi kule Kwenye comments za kiarabu za ostaz wako,chini Yake nimeweka sifa yako kule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishasahau ni wapi Ila ni mitaa ileileMmhh mbona sijaona hebu kanitag aisee
Jambazi
Sura ngumu kufa hataki
Ushimen
Hana tofauti na bush man..
sura mbaya
Shida zote za mtaani anatatua huyu..😂
Unanifokea ujue...wa stendi
Fujo yumo,mikwara yumo,utembezi yumo,mtu anaeongea mpk mishipa inaonekana..😂
Rebeca 83
We dada nakuogopa!.. maana ulishawahi nichamba nikachambika😂
ila mpk mtu akuchokoze ndo yanaamka ya kwenu..😅
Mama Debora
Mlezi..
ledada
Dada fulani hivi munene lkn cute..😉
Ukizubaa nakufanya unakuwa mchepuko wangu..😜
nameless girl
Machepele..😂🏃
Unajua adi movie za kung fu akina chi chi chao" aisee hii hatarNyaaambaaaafffff....
Yaaani unamnyasanyasa mahtan wangu, acha nikurukie mwenyewe nikupe za "snake and the monkey shadow fight".