cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,815
- 137,540
Nimerudi babe wangu usikonde ,tukaichukue na ile gari yetu sasaWe kadada ulikimbia ulienda wap ,
Ulitegemea ntaishije?
itakutoa roho babeNimerudi babe wangu usikonde ,tukaichukue na ile gari yetu sasa
Hi Coca!,
Fyneeeeeh dea mic u moaaaah.Hi Coca!,
Happy Sunday.
Rowin
الهجمنس تغير سشيلمةس
Paula Paul
نحن تتركب ،من الانجليزي
Hawachi
اختي لا تزوجي ام كان
Zoë
اكرب و ان كان اسم و اخواته
Saint Anne
البنت صغيرة جيدا،لكن اشتغل محل في طبيب.
التالي........
Nataja wengi
Shadeeya
Mdada mstaarabu kama pacha wake hapa
Sanchez magoli
Mvivu sana wa kuchat
chaliifrancisco
Kada mtiifu wa #YNWA anaweza akafa huyu kwa ajili ya team yake
SHIMBA YA BUYENZE
Mstarabu lakini nahisi kama mgomvi huyu
The Monk
Hana maneno mengi
Zoë
Mbishi huyu,akisimamia kitu tena kikiwa kinahusu utetezi wa wanawake anaweza kubishana na JF nzima
Nitaendelea....
hapo kwa @zoe hadi in real life ni mbishi
daah hivi kumbe mimi ndiyo naonekana mbishi kiasi hiko
Yaaaani wewe ni mbishi!!kwani hujuagi?
weeee ni mbishi haswaaa😂😂😂😂khaa shoga yangu hata wewe ni wa kunikandia hivi
Yaaaani wewe ni mbishi!!kwani hujuagi?😂😂
huu ubishi ni nyuma ya keyboard tu dear, in real life mie ni mpole sema tu ndiyo vile sipendi kuonekana mpole naogopa nitaonewa.
weeee ni mbishi haswaaa
mmh hebu subiri kwanza uliniona nabishana na nani ??
yaaani hadi apa bado anabisha
aah thubutu
Trafic
mara nying tu mbona 😂😂😂afu na kipindi kile kwenye groupmmh hebu subiri kwanza uliniona nabishana na nani ??