Teh teh..Mkuu halikuwa swali langu..Mi nililidandia tu..Ila naamini huyo jamaa unamjua..Swali la pili, kuna mdada nimeona kakuuliza Kaboom kama hio avatar ni picha yako halisi, inasemekana hukumjibu public ukaamua kumjibia PM, Kwa nini lakini aiseee kujibu maswali ya public kwa kutumia PM??
Na majibu piaNi maswali tu???
Tunatakiwa tujibu ukweliIvi humu tunatakiwa tujibu ukweli au tudanganyane?
Ndio halisiHiyo ya kwako ni halisi??