Mbagala stendi JF-Expert Member Joined Nov 8, 2020 Posts 343 Reaction score 407 Sep 13, 2021 #1 Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke😥
Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke😥
WORLD WAR 5 JF-Expert Member Joined Aug 28, 2021 Posts 506 Reaction score 976 Sep 15, 2021 #3 nileo said: Sawa Click to expand... Tafuta pesa ili usje ukala wali na chai Ama ugali na chai
Kikapuu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,200 Reaction score 1,748 Sep 15, 2021 #4 ALLGAMES said: Tafuta pesa ili usje ukala wali na chai Ama ugali na chai Click to expand... nikiwa nazo nakula nini
ALLGAMES said: Tafuta pesa ili usje ukala wali na chai Ama ugali na chai Click to expand... nikiwa nazo nakula nini
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,471 Reaction score 829,862 Sep 15, 2021 #5 Mbagala stendi said: Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke Click to expand... Lugha kidogo imekuwa changamoto
Mbagala stendi said: Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke Click to expand... Lugha kidogo imekuwa changamoto
muuni kashalost Member Joined Aug 27, 2021 Posts 35 Reaction score 50 Sep 15, 2021 #6 siyo zikatike tuu yaan utashangaa unakanyag mwiba na unakuchoma vizur tuu
Mbagala stendi JF-Expert Member Joined Nov 8, 2020 Posts 343 Reaction score 407 Sep 15, 2021 Thread starter #7 Mshana Jr said: Lugha kidogo imekuwa changamoto Click to expand... Mshana Jr. Ni makosa tu ya kiuhandishi
Mshana Jr said: Lugha kidogo imekuwa changamoto Click to expand... Mshana Jr. Ni makosa tu ya kiuhandishi
Dead Man JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 709 Reaction score 828 Sep 15, 2021 #8 Mbagala stendi said: Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke😥 Click to expand... Ukiwa huna hela hata ndevu huota hadi puani ili ushindwe kupumua ufe
Mbagala stendi said: Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke😥 Click to expand... Ukiwa huna hela hata ndevu huota hadi puani ili ushindwe kupumua ufe
Mbagala stendi JF-Expert Member Joined Nov 8, 2020 Posts 343 Reaction score 407 Sep 15, 2021 Thread starter #9 ALLGAMES said: Tafuta pesa ili usje ukala wali na chai Ama ugali na chai Click to expand... Tafuta pesa usije ukala ugali kabichi😊
ALLGAMES said: Tafuta pesa ili usje ukala wali na chai Ama ugali na chai Click to expand... Tafuta pesa usije ukala ugali kabichi😊
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,913 Reaction score 10,719 Sep 15, 2021 #10 ndo maana kuna nyumba na pango. Na mchukua mkeo, nakupiga na pia nakufunga
Post M-alone JF-Expert Member Joined Aug 18, 2021 Posts 2,962 Reaction score 9,557 Sep 15, 2021 #11 Tafuta pesa mpaka mama mkwe akuite mme wetu.
Dead Man JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 709 Reaction score 828 Sep 15, 2021 #12 Ambiance said: Dah? Mkuu yani unanisema mimi kabisa, Mimi zimefika mpaka kooni shingoni kabisa sijui zinataka zininyige nife😂😂 Click to expand... wa 🤣🤣🤣 hua zinatabia hiyo ili tu ufe
Ambiance said: Dah? Mkuu yani unanisema mimi kabisa, Mimi zimefika mpaka kooni shingoni kabisa sijui zinataka zininyige nife😂😂 Click to expand... wa 🤣🤣🤣 hua zinatabia hiyo ili tu ufe
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,148 Reaction score 190,637 Sep 15, 2021 #13 Wewe una bei gani au una type kwenye kochi la shemeji yako tu
Rodwell mTZ JF-Expert Member Joined Nov 16, 2012 Posts 1,544 Reaction score 1,722 Sep 26, 2021 #14 Post M-alone said: Tafuta pesa mpaka mama mkwe akuite mme wetu. Click to expand... Nimecheka kwa sauti
Post M-alone said: Tafuta pesa mpaka mama mkwe akuite mme wetu. Click to expand... Nimecheka kwa sauti
Cainan JF-Expert Member Joined Jun 14, 2017 Posts 477 Reaction score 572 Sep 26, 2021 #15 Naunga mkono hoja ...dawa ni pesa tu hakuna kingine hii tunaita financial freedom
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,413 Reaction score 185,040 Sep 26, 2021 #16 Ngoja waje uwape miongozo...
Mbagala stendi JF-Expert Member Joined Nov 8, 2020 Posts 343 Reaction score 407 Sep 26, 2021 Thread starter #17 Usipokuwa na pesa, kwenye vikao vya familia hautahuliza unakunywa soda gani utashitukia mirinda nyeusi iyo mikononi 😛.
Usipokuwa na pesa, kwenye vikao vya familia hautahuliza unakunywa soda gani utashitukia mirinda nyeusi iyo mikononi 😛.
Soga za mzawa Senior Member Joined Oct 27, 2017 Posts 181 Reaction score 212 Sep 27, 2021 #18 Mbagala stendi said: Usipokuwa na pesa, kwenye vikao vya familia hautahuliza unakunywa soda gani utashitukia mirinda nyeusi iyo mikononi . Click to expand... Daaaaa!!!! Swadacta mkuu
Mbagala stendi said: Usipokuwa na pesa, kwenye vikao vya familia hautahuliza unakunywa soda gani utashitukia mirinda nyeusi iyo mikononi . Click to expand... Daaaaa!!!! Swadacta mkuu
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,207 Reaction score 103,088 Sep 27, 2021 #19 Mbagala stendi said: Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke😥 Click to expand... Saasa hiyo "Una" ndio una maanisha "Huna?" Maana ukisema "Ukiwa una pesa" maana yake ni kua Pesa unazo tayari.
Mbagala stendi said: Ukiwa Una pesa Wala michongo ya pesa, ukivaa kandambili/ndala lazima sikukatikie katikati ya mji hili mradi tu uteseke😥 Click to expand... Saasa hiyo "Una" ndio una maanisha "Huna?" Maana ukisema "Ukiwa una pesa" maana yake ni kua Pesa unazo tayari.
J jailos mrisho JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 644 Reaction score 1,360 Sep 27, 2021 #20 Mbagala stendi said: Mshana Jr. Ni makosa tu ya kiuhandishi Click to expand... Hata hapa, bado lugha ni changamoto. Pole sana, nazani ndo sabab ccm wanaendelea kutawala tz toka uhuru.
Mbagala stendi said: Mshana Jr. Ni makosa tu ya kiuhandishi Click to expand... Hata hapa, bado lugha ni changamoto. Pole sana, nazani ndo sabab ccm wanaendelea kutawala tz toka uhuru.