Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,422
- 1,756
Ni ya nani mkuuUliza kwanza hayo magorof ni ya nani tukupe mongozo kiongozi
Niwe mkweli, kama huioni hela basi toka ulipo au badili mbinu. Lkn niamini mm hela ipo, na ipo haswa.Hali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa.
Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa kazibia 100. Hii ni idadi kubwa sana.
Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha afrika mashariki imeimarika sana. Kariakoo panahela.
Dp wedi nao wakiboresha pale bandarini, mambo yatakuwa mazuri zaidi.
Serikali ijitahidi kuweka miundombinu hasa ya barabara katika viwango makini.
Kijana usilale, fursa zipo nyingi.
ChaiHali ya uchumi inaimarika sana nchini. Pamoja na lawama za mfumuko wa bei, hiyo ni mojawapo ya growing economy hatuezi ikwepa.
Kariakoo kuna uvunjaji na ujenzi wa majengo ya ghorofa karibia 100. Hii ni idadi kubwa sana.
Tafsiri ya haraka pia mazingira ya biashara eneo hilo kitovu cha Afrika Mashariki imeimarika sana. Kariakoo pana hela.
DP World nao wakiboresha pale bandarini, mambo yatakuwa mazuri zaidi.
Serikali ijitahidi kuweka miundombinu hasa ya barabara katika viwango makini.
Kijana usilale, fursa zipo nyingi.
Kwa maghorofa,jamaa Yuko sahihi. Kariakoo inavunjwa sana na kujengwa maghorofa mapya ya kisasa.Chai
Unajua ukipita hapa Karikoo, kuna nyumba za chini kama 200 hivi zimevunjwa na ghorofa zinasimama hadi kufikia floor ya 10 ndani ya mwezi, hizi pesa si za kawaida hata kidogo, haijawahi tokea Tanzania. Na zote ukisoma yale mabango, msanifu ni yule yule, wanaitwa ‘Vertex services’, maana yake haya majengo yote anajenga mtu mmoja..Wamepiga DPW Hao! wamekosa maarifa ndio maana unaona wanajenga kwa kasi wameshindwa hata kujificha! inasemekana ni mtoto wa malkia nchi ya kusadikika
Sijengi ghorofa ila nafaidika na ujenzi wa hizi ghorofa. 😂😂Unajenga ghorofa kariakoo Hadi useme pesa IPO?
Ndio wale wale ambao Huwa wanajivunia utajiri wa shemeji zao!!