Tafuta adhabu nyingine usitoe nyeti zako. (Funzo)

Nashangaa mods hawajaiondoa picha hii...hawa mods ni JIPU...picha hizihazipaswi kuwekwa kwenye mtandao kama JF wenye heshima zake...MODS ondoeni haraka picha hii na mhusika awajibishwe na kama hamtaki mimi binafsi nitawasilisha suala hili kwa TCRA
Hii picha ipo kwaajili ya kufundisha watu, sio kumdhalilisha na ndio maana huoni picha ya huyo aliyeathirika. Unawezaje kusema hazina heshima kwa kuliona jeraha la hivo ............ hapo kama mtu zinachaji basi unayafikiria maumivu ya huyo mtu jinsi anavyojisikia, na ndio maana wachangiaji wote wanaongelea maumivu ya huyo mtu na sio unachokiona wewe.
 
Ubishi wa aina hii hauna tija...hivi wewe unadhani picha za maiti zinaruhusiwa humu JF hata kama huonyeshi sura zao?? Someni vizuri sheria za mitandao na media...msibishe tu...
 
Ubishi wa aina hii hauna tija...hivi wewe unadhani picha za maiti zinaruhusiwa humu JF hata kama huonyeshi sura zao?? Someni vizuri sheria za mitandao na media...msibishe tu...
Maiti haina cha kujifunza wala majeruhi wa ajali hauna sababu ya kuweka picha zao mitandaoni,ila hii ipo kwaajili ya kuwataadharisha watu na matukio kama ya kufumaniwa,wafumaniaji kuwajeruhi wagoni wao (kujichukulia sheria mkononi) kujijeruhi wenyewe na yote yanayohusiana na hayo. Na ndio maana nimeweka kichwa cha habari kinachosomeka "FUNZO" INA MANA WATU WAJIFUNZE.
 
Sawa ndo maana zikawekwa adhabu ili kuiogopesha jamii kujiepusha na ugoni!Kwa nini mtu asitafute wa kwake aoe awe na wake hata mia! Hadi mtu anyemelee wake za watu!.Mtu akifumaniwa ni kunyofolewa tu!Manake hamna namna tena.
una heri kwa kuwa wewe hajawahi zaidi ya mkeo toka uzaliwe.
 
una heri kwa kuwa wewe hajawahi zaidi ya mkeo toka uzaliwe.
Tahadhari ni nzuri!. Fikiri umeshughulikiwa kama mshikaji hapo juu itakuwaje sasa haya wee endelea kugegeda wa wenzio kwa wakati wako kila la kheri!
 
Tena wangemuua kabisa, hawa wazinzi nawachukia sana, pumbavu zake kabisa.
 
halafu inaonekana ni kubwa maana hapo imesinyaa lakini bado ina wito sasa ikiwa imesimama dede si kama.............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom