Tafuta adhabu nyingine usitoe nyeti zako. (Funzo)

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,953
images
 
adhabu nyingine zinazidi kipimo! Nani asiye na dhambi hapa duniani?????? Wafanyao unyama kama hao laana kubwa huandama kizazi chao.
Sawa ndo maana zikawekwa adhabu ili kuiogopesha jamii kujiepusha na ugoni!Kwa nini mtu asitafute wa kwake aoe awe na wake hata mia! Hadi mtu anyemelee wake za watu!.Mtu akifumaniwa ni kunyofolewa tu!Manake hamna namna tena.
 
Mke wa mtu mtamu ila nikionaga hizi kitu, dah!!
Ona sasa, jamaa hatombi tena, bonge la adhabu!
 
am
Sawa ndo maana zikawekwa adhabu ili kuiogopesha jamii kujiepusha na ugoni!Kwa nini mtu asitafute wa kwake aoe awe na wake hata mia! Hadi mtu anyemelee wake za watu!.Mtu akifumaniwa ni kunyofolewa tu!Manake hamna namna tena.[/QUOTE

Ambaye hajawahi kuzini,na awe wa kwanza kurusha jiwe.
 
Sawa ndo maana zikawekwa adhabu ili kuiogopesha jamii kujiepusha na ugoni!Kwa nini mtu asitafute wa kwake aoe awe na wake hata mia! Hadi mtu anyemelee wake za watu!.Mtu akifumaniwa ni kunyofolewa tu!Manake hamna namna tena.
Huenda ukawa ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu. Hivi baada ya kuua nini kinafuata kama siyo jela maisha?
Ukimegewa jiulize wapi unakwama, then tafuta suluhu inayotibu msongo wako wa mawazo.
Si tabia inayofaa kuwa na vicheche kibao na mali za wengine kijamii... Ila tutoe dhana ya kwamba binadamu anamilikiwa kwa mahari na ndoa, si kweli
Ile kitu ni hisia na upendo wa agape ndo humtuliza mtu katika mahusiano....
Haya umeua na uende jela ili aje mwingine aendeleze pale penye machungu
 
Kimsingi hakuna tofauti kati ya uzinzi na ugoni (Ugoni umo ndani ya uzinzi) ila kuna tofauti kati ya uzinzi na uasherati.
Navojua mimi simply ugoni ni tukio la kufanya mapenzi na mtu mwenye mahusiano na mtu mwingine ilihali unajua ana mwenza wake ila uzinzi ni tukio la kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mwenza wako.
 

Nashangaa mods hawajaiondoa picha hii...hawa mods ni JIPU...picha hizihazipaswi kuwekwa kwenye mtandao kama JF wenye heshima zake...MODS ondoeni haraka picha hii na mhusika awajibishwe na kama hamtaki mimi binafsi nitawasilisha suala hili kwa TCRA
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom