Nafikiri ipo adhabu nyingine tofauti na kuchomwa moto mbinguni?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,733
Ni moto tu ndo adhabu kali kwa mwanadamu?

Je, kama kule zinaenda tu roho mwili si ni madongo unabaki tu kaburini?

Je, baridi sio adhabu?
Je, njaa sio adhabu?
Je, kiu sio adhabu?

zipo adhabu nyingi tu lakini naamini kuna adhabu nyingine kule kwa Mungu zaidi ya moto.
 
ni moto tu ndo adhabu kali kwa mwanadamu?

je? kama kule zinaenda tu roho mwili si ni madongo unabaki tu kaburini?

je? baridi sio adhabu?
je? njaa sio adhabu?
je? kiu sio adhabu?

zipo adhabu nyingi tu lakini naamini kuna adhabu nyingine kule kwa mungu zaidi ya moto.

Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣

Jiulize Umekufa halafu Unafufuliwa Ili uchomwe Ufe 😅😅

Kuna vitu vingine vinafikirisha sana..

Kwanini wasifufuliwe wema tu..
Kuna haja gani ya kumfufua Mtu na kumchoma ili afe..

Yaani ni sawa na Gari lako uliloliunda limeharibika then unalitengeneza kwa gharama kubwa halafu unalibomoa tena 😅😅
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Jiulize Umekufa halafu Unafufuliwa Ili uchomwe Ufe 😅😅

Kuna vitu vingine vinafikirisha sana..

Kwanini wasifufuliwe wema tu..
Kuna haja gani ya kumfufua Mtu na kumchoma ili afe..

Yaani ni sawa na Gari lako uliloliunda limeharibika then unalitengeneza halafu unalibomoa tena 😅😅
ila 🤣🤣🤣
 
Dah!!
 
Haya mambo ya imani hasa za hizi dini mbili za mashariki ya kati ukiyachunguza sana unaweza kuona hayana logic.

Utafikiri dini ipo kwa ajili ya kuwatisha watu. Kuna dini inaongelea marehem kuchapwa viboko kaburini. Kisha kuchomwa moto jehanam.
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Jiulize Umekufa halafu Unafufuliwa Ili uchomwe Ufe 😅😅

Kuna vitu vingine vinafikirisha sana..

Kwanini wasifufuliwe wema tu..
Kuna haja gani ya kumfufua Mtu na kumchoma ili afe..

Yaani ni sawa na Gari lako uliloliunda limeharibika then unalitengeneza kwa gharama kubwa halafu unalibomoa tena 😅😅
Kufa ni sawa na wito wa mahakama, kwamba huko uraiani Toka unahitajika Mahakamani.

Ufufuo uko mara 2, hii ni hakika, maana suala la waisrael unaweza ukawepo wa 3 kama sikosei.

Ufufuo ni sawa na wewe kufikishwa mbele ya hakimu, na moto na uzima wa milele ndo HUKUMU yenyewe kutegemea na matendo Yako uraiani ...
 
Adhabu zipo nyingi sana
Kumbuka kufufuliwa hadi kuhukumiwa (siku ya hukumu) itachukua zaidi ya miaka Elfu na hapo katikati ni mateso ya kila aina kwa wale walio muasi Mungu; kutakuwa naKiu kali, njaa, jua lisilo na kifani na adhabu nyingine nyingi; usisahau kule kaburini mtu akifariki hata kabla ya kufufuliwa tayari kuna adhabu kibao....

Kumbuka; Adhabu ya kuchomwa, imetajwa ila mtu atachomwa na hatakufa....atachomwa hata mwaka mzima na yupo hai, hayo maumivu ya kuuungua bila kufa, ndio adhabu iliyokusudiwa
Na Kwa mwenye akili hili la adhabu halina ubishi wowote

Haiwezekani mtu achukue shamba la mtu eti iishie hapa duniani, au Uloge mtu ateseke maisha yake yote huku duniani eti iishie hapa tu au upunje watu kwenye mizani nk nk nk
 
Kufa ni sawa na wito wa mahakama, kwamba huko uraiani Toka unahitajika Mahakamani.

Ufufuo uko mara 2, hii ni hakika, maana suala la waisrael unaweza ukawepo wa 3 kama sikosei.

Ufufuo ni sawa na wewe kufikishwa mbele ya hakimu, na moto na uzima wa milele ndo HUKUMU yenyewe kutegemea na matendo Yako uraiani ...
Waisrael Wana Theology Tofauti sana linapokuja Swala la Hukumu Nafikiri Ni very far Beyond Yours (Islamic and Christian)...

So Umefananisha kifo Na wito wa Mahakamni Vyema..

Mahakamani unapoitwa Unaenda kuhukumiwa na kama Una Kosa Haurudishwi uraiani unapelekwa Gerezani Moja kwa moja..

But for parable ya Mahakamani (Acha niitumie kama kwako iko sawa)..

Unaenda kuitikia wito wa mahakani (Kifo) Then unarudishwa Uraiani (Kufufuliwa) then Unahukumiwa kifo (Wito)

Does that make sense to you?

its Paradoxical Arguments men!
 
Adhabu zipo nyingi sana
Kumbuka kufuliwa hadi kuhukumiwa (siku ya hukumu) itachukua zaidi ya miaka Elfu na hapo katikati ni mateso ya kila aina kwa wale walio muasi Mungu; kutakuwa naKiu kali, njaa, jua lisilo na kifani na adhabu nyingine nyingi; usisahau kule kaburini mtu akifariki hata kabla ya kufufuliwa tayari kuna adhabu kibao....

Kumbuka; Adhabu ya kuchomwa, imetajwa ila mtu atachomwa na hatakufa....atachomwa hata mwaka mzima na yupo hai, hayo maumivu ya kuuungua bila kufa, ndio adhabu iliyokusudiwa
Na Kwa mwenye akili hili la adhabu halina ubishi wowote

Haiwezekani mtu achukue shamba la mtu eti iishie hapa tu, au Uloge mtu ateseke maisha yake yote huku duniani eti iishie hapa tu, au upunje watu kwenye mizani nk nk nk
And who Told you so!
Huko kaburini Kuna Adhabu kibao?
Cuz The Bible didnt do That!..

atachomwa na hataKufa That Apcalypso treatment Mnadanganyana its Dogma na haipatikani katika Sehemu yoyote ya Maandiko..

Ni maisha ambayo Tumedanganywa kwa Muda mrefu hakuna Adhabu ya Milele..
Hakuna Moto wa Milele wala hakuna..

I think you need To show me those scarring words umezitoa wapi maana its more story za mitaani na Wachungaji na Masheikh kuwatisheni ila kwenye maandiko yenu hazipo
 
Mkuu kwa hiyo unaamini hamna hukumu ? ukiamini hivyo itakuwa hamna hata haja ya watu kufanya ibada na matendo mema

Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Jiulize Umekufa halafu Unafufuliwa Ili uchomwe Ufe 😅😅

Kuna vitu vingine vinafikirisha sana..

Kwanini wasifufuliwe wema tu..
Kuna haja gani ya kumfufua Mtu na kumchoma ili afe..

Yaani ni sawa na Gari lako uliloliunda limeharibika then unalitengeneza kwa gharama kubwa halafu unalibomoa tena 😅😅
Una akili sana. Soma Mhubiri 9:5,6,10
 
Ni moto tu ndo adhabu kali kwa mwanadamu?

Je, kama kule zinaenda tu roho mwili si ni madongo unabaki tu kaburini?

Je, baridi sio adhabu?
Je, njaa sio adhabu?
Je, kiu sio adhabu?

zipo adhabu nyingi tu lakini naamini kuna adhabu nyingine kule kwa Mungu zaidi ya moto.
Hakuna Mungu wa anayekuumba ili akuchome...huo ni uongo.
Yaani akuumbe, halafu akunyan'anye mwili, halafu aje akurudishie tena ili akuchume. Yaani huyo ni Mungu wa aina gani huyo? Aliwaza kweli?
Akishakunya'anya mwi (Pumzi) ndiyo kwisha habari yako. Mahubiri yenu yajikite kwenye kusema wadhambi hawatarudishiwa miili na kupewa nafasi nyingine ya kuishi, hapo nitawaelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom