Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
Tafsiri yangu kuhusu hawa wa Germany huyo mmoja ameshika tama sababu sera za ndani ya kijikitabu hicho hazitekelezeki kutokana na Rushwa na Baadhi ya Wabunge wetu wa CHama chetu hicho kununua Uongozi. Hata Pia Bajeti wameangalia wameona imezidi yao mara 10 lakini sisi tunaikomalia tu.
Toa oni lako hapa
Toa oni lako hapa