Tafsiri yake Kibiashara ni nini?

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
604
Points
0

M-pesa

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
604 0
Ukiitizama hii Picha kwa umakini inaonesha idadi ya watazamaji kwa baadhi ya majukwaa, Huku jukwaa la siasa likiwa na watazamaji wengi zaidi. Je, Tafsiri yake ni nini?

 

Attachments:

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
628
Points
225

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
628 225
Kwa kawaida watu hupendelea zaidi habari za siasa, make siasa ndiyo kila kitu (mambo mengine yote huathiriwa sana na siasa) . Hata mtaani ukipita, watu vijiweni huongea zaidi siasa hasa wakati wa uchaguzi.
 

BPM

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,763
Points
1,195

BPM

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,763 1,195
habari nyingi zinawahusu wanasiana au viongozi wa serikali ambao wanaangukia kwenye kundi la siasa
 

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,417
Points
1,225

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,417 1,225
Moja ya kitu kinacho niudhi ni kule kuona mtu mwenye uelewa hapa jamvini akitumia prefix ya "News Alert" pahala ambako siko kabisa! Why do you do this?!

Mkuu, ili kuijibu hoja yako hapo juu nitatoa mfano: since unaweka matangazo ya biashara hapa JF mara kwa mara, kama hu-appreciate au hujui involvement ya siasa katika jamii, jaribu kupeleka matangazo ya biashara hizo pahala ambapo pana machafuko ya kisiasa kisha upime ROI ya matangazo hayo baada ya muda fulani kupita.
 

Forum statistics

Threads 1,391,500
Members 528,416
Posts 34,082,879
Top