amepataje muda wa kujua hayo yote kama siyo mwanaume wa DAR? Mwanaume wa kule kanda maalum atakuwa na muda wakujua hayo yote kweli. Kule ni " Vita ni Vita Mura"! nitakurenga Mura!ahahahaa kwann mkuu
HahaaUpo mara unanyoa kiduku au unasokota dred wewe ni mwanaume wa dar.
Upo katavi unavaa hereni sikio 1 wewe ni mwanaume wa dar.
Upo chato unavaa kata K wewe ni mwanaume wa dar.
Mengine wanayoandika ni ujingaMnaanza kupotosha,kwaiyo nikavunje dressing table yagu aisee
True, true and very trueUFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar♂♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar
Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani
COPIED
Hao ni nabonyeza kizeenji, Bonyeeeeee!Na wale wa Zenj wanaokula mbatata rojo rojo je?
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar
Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani
COPIED
KAuliza tu kaswali, wewe mwanaume kwenye hiyo dress table huaga unaweka vitu gani? Mkimjibu hilo swali ndio utaelwa kwanini kaweka na hiyo ya mwanaume kumiliki dressing table.Mengine wanayoandika ni ujinga
We jamaa unapajua kwa Jimu,Masaki,au Mwenge,Ilolo, maana hii ID yako imenikumbusha mbali kama inawezekana tuyajenge PMMnaanza kupotosha. Kwahiyo nikavunje dressing table yagu aisee?
Au Isangu, Tazara, Hasanga na namba wani? Hahaaaa!We jamaa unapajua kwa Jimu,Masaki,au Mwenge,Ilolo, maana hii ID yako imenikumbusha mbali kama inawezekana tuyajenge PM
Duuh kumbe tupo wengi, maeneo hatarishi ni Ilolo, Kwa Jimu na pale namba wani 😂😂😂Au Isangu, Tazara, Hasanga na namba wani? Hahaaaa!
Ilolo na Kwa Jimu kama Manzese na Tandale! Ni maeneo hatarishi kwelikweli 😂 😂 😂Duuh kumbe tupo wengi, maeneo hatarishi ni Ilolo, Kwa Jimu na pale namba wani 😂😂😂
Kitimoto kwa Abuu na chini yake kuna wale mangi pia wanapika hiyo kitu ni hatareee