Tafsiri ya usemi "Wanaume wa Dar"

UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-

1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar‍♂‍♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar

Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani

COPIED
True, true and very true
Bila kuwasahau Wale wanaokaa Songea ila wanapenda kutumia neno KUDAMSHI nao ni Wanaume wa Dar
 
WA MIKOANI NI WAZEEE WA NGUNA NGUMU, HAO WA DRESSING TEBO MIKOANI NI WASORIZIKI, USIJARIBU KUTURINGANISHA NA HAO MIDEBWEDO WA DAR, WASUGULIWA MIGUU NA KUCHA
 
Unarocha mkuu.
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-

1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar‍
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar

Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani

COPIED
 
Duuh kumbe tupo wengi, maeneo hatarishi ni Ilolo, Kwa Jimu na pale namba wani 😂😂😂
Kitimoto kwa Abuu na chini yake kuna wale mangi pia wanapika hiyo kitu ni hatareee
Ilolo na Kwa Jimu kama Manzese na Tandale! Ni maeneo hatarishi kwelikweli 😂 😂 😂
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom