Tafsiri ya rangi za shuka kitandani

Tafsiri ya rangi za shuka kitandani

Na wewe mbona huwa unatuletea imagination zako hapa.

Eti "malaki kwa malaki ya futi"
We ndo chenga balaa

Ahahaaaa.....
avatar223968_3.gif
 
Uwiiiii.... halafu unajifunga lace nyeupe kunogesha mchezo

Nikipata na ka kibuyu na mkia wa paka Oooh nabandika tangazo nje "mrudishe mpenzi wako, muite mpenzi alie mbali, safisha nyota hapa"
 
Sasa hii mwanaume anapaswa kuiprint na kubandika chumbani ili awe anakumbuka maana zake !!!
 
Na yale mashuka ya chadema

Yana maana gani yaleee?

Anyway tafuteni hela hizi mada hazina tija kama huna hela
 
  • Thanks
Reactions: Art
ndio raha ya tanga mtoto anajua wajibu wake kwa mumewe,sio wale kule mdomo unanuka,hana sauti ya mahaba,mtu mgumu kama zege ukimuona anazungusha kiono utakimbia mana ni vita hivyo mwili mzima unazunguka

Hahahaaaaa badala ya kuzunguka kiuno unazunguka mgongo I am proud to be Tanga's indigenous
 
ndio raha ya tanga mtoto anajua wajibu wake kwa mumewe,sio wale kule mdomo unanuka,hana sauti ya mahaba,mtu mgumu kama zege ukimuona anazungusha kiono utakimbia mana ni vita hivyo mwili mzima unazunguka

Hahahahaha dah
 
Me too!sinaga shuka nyeusi,nachukia nyeusi

Mwanamke shuka nyeupe, pink, bluu bahari na zile zenye maua nyeusi hapana kwakweli na hakuna kungwi anayeweza toa somo kama hilo
 
Back
Top Bottom