Na wewe mbona huwa unatuletea imagination zako hapa.
Eti "malaki kwa malaki ya futi"
We ndo chenga balaa
kinaashiria kazi ha ha ahaKama hili mtoa mada atasema lina ashiria nini?
hahahahahahahhahaaaandio raha ya tanga mtoto anajua wajibu wake kwa mumewe,sio wale kule mdomo unanuka,hana sauti ya mahaba,mtu mgumu kama zege ukimuona anazungusha kiono utakimbia mana ni vita hivyo mwili mzima unazunguka
unatuletea mataarabu hapa
Hajaosema ya maua mazuri ambayo mengi ndo yanapendeza
NAONA KATAJA YA RANGI MOJA KAMA YA MASHATI YA WAIMBA KWAYA
Naona mnaendeleza ubaguzi wa rangi hadi vitandani kuona nyeusi haifai duuh haya bhanaa
Mkuu,kumbe unamfahamu Huyu Mtoto?
Kumbe ukiwa period ndo siku za kupata mimba
Kumbe ndo maana dk mwaka ana wagonjwa hvo
Kila siku watu wakiwa period ndo watafuta watoto tanga
Muacheni dk mwaka afaid