Wote sura zina stress sawapicha zinaongeaView attachment 1282412

Mdogo wangu Dr. Musa nimeumia sana, pumzikeni kwa amani.
Mungu atende muujiza kwa hizo black suits kabla mwaka huu haujaisha.View attachment 1284048
Album cover hii imeekwa ktk 4 parts. Alianza kufariki wa chini kulia (Said Mabera)! Akafuatia wa juu Kulia (Tx Moshi)! Then wa Juu kushoto (Maalim Gurumo)! Wa chini Kushoto (Romarii) wangali hai. View attachment 1327307
Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee acha uongo,..mzee said mabela Ni jiran yetu tangia mwaka 1990 maeneo ya kigogo mburahati,..na wanae wote nimesoma nao,..akiwemo bakari, sadick na wengine..baada ya kutofautiana na mkewe akahamia mbagala...na mpaka muda huu huyu mzee Ni mzima wa afya..tele. japo uzee umeshamtembelea...

Aisee.. Kaka siku hizi naogopa mno kupiga picha za kundi
Jr