Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,168
- 831,924
- Thread starter
- #241
Dah sio masihara kumbe mzee picha talks
Mhhhhh broooo magu ww
pole Mshana nawe umekumbwa na mahaba ya kuforwadTayari nimelitekeleza hilo so sorry kwa wahanga

alotDah sio masihara kumbe mzee picha talks
Nimeona kitu MSHANA jr.... Katika picha hii, huyu aliyeinama na kushika MAGOTI (Mwai Kibaki)Wakati wa kupigwa hii picha hakuna aliyetegemea kuwa hawa wote watakuja kuwa marais wa Kenya ila kwenye ulimwengu wa roho na beyond human thinking capacity....hongera nimeipenda
Weka picha yako tukupe ama tukuambie siri nyuma ya pazia...Habari kaka Mshana;
Hizo ni coincidence tu hazina uhusiano na nguvu wala miujiza yoyote kila jambo ni vile unavyolitazama mimi sikubaliani na wewe...
Kama picha ilipigwa zamani kivipi leo niione sawa wakati nyakati zinabadilika? ni lazima nione mabadiliko mengi tu kwa kua muda nao umepita ipo hivyo tu
Nikipiga picha leo na mbuzi wangu nyumbani baada ya miaka mitano yule mbuzi hatakuwepo labda amechinjwa au vyovyote na mimi pia nitakua pengine kama asili ya maisha ilivyo hakuna nguvu wala nini inayotumika hapa
Yeah right hata mimi niliona...mambo ya wasap gps ni uzishi uzushi tu..usipopima unaweza foward vitu sio..Mkuu mshana jr nakuomba ufute hii picha haraka sana, ni ya uongo. Imesambazea sana kwenye magroup... Huu ni uongo ajali ya Lucky Vincent haihusiani na hii familia tafadhali watendee haki..
Coincidence ni mtazamo wa kibinadamu kwenye ulimwengu wa roho kila kitu kiko pre-planned
Mkuu mshara hapo kwenye usaliti siku zote nitamtetea mzee wetu Slaa. Huwezi kuwa msaliti kwa kusimamia ukweli na misingi ya taasisi yoyote, nadhani wasaliti wanajulikana vyema....Hatujui yajayo japo kwasasa imethibitika hao wawili walio upande mmoja na rangi za nguo zinazokaribia kufanana 'inasemekana' ni wasaliti
Yaani wee acha tu
Inawezekana kabisa hawakulijua hili lakini kiroho lilishajulikana kitamboKardinali wa Kwanza Tanzania Kardinal Lugambwa akiwa na Kardinali wa pili Tanzania Pengo
View attachment 506249
Nimegundua hili somo ni gumu hasa kwa wale ambao ufahamu wao ni mdogo kwenye ulimwengu wa roho (silawaumu) lakini pia wale ambao wana mzio na post zangu..wao daima hawana hoja bali kukosoa bila ithibati! Siwalaumu kwakuwa chuki ni sehemu ya mwanadamu hasa akiwa na akili finyu
Mshana jr unacheka post yako mwenyewe!
