Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mshana Jr,

Picha zinaongea

IMG_20170224_222129_012.JPG
IMG_20170224_223348_533.JPG
 
Wakati Mshana Jr alipokuwa anaandika Mambo yanayohusu Uwepo wa uchawi na Ushirikina Bongo lala na wakurupukaji wote wakawa wanatokwa povu Mtu kitu hakielewi badala yakutulia aelewe analeta ubishi wakijinga Sasa kule aliibuka jamaa 1anaitwa Mtu mzito yule jamaa hakubakisha kitu ..Viwavi wote waliukimbia ule Uzi...nikawaida bongolala kujifanya wajuaji kumbe upuuzi tu
Mtu mzito alifanyaje
 
Naomba unisaidie hapa. Mimi Huwa napenda kupiga picha na watoto. Pia kukaa nao na kuwaongelesha. Mimi nina 29 miaka
 
Hili nimesha wahi liona kwangu kali ni jamaa kuwekwa kwenye sanduku (jeneza) akisubiri kuzikwa ila ni kwa njia ya kishirikina

Ikawa mziki kumrudisha duniani jamaa anakimbilia uvunguni nkasema dunia ina watu

Nyingine ni kulogwa ukimwi,na vipimo kuthibitisha jamaa anao baada ya tiba ukimwi ukapotea
Hii ya kulogwa ukimwi, ilishampata jirani yetu, na sasa hivi yupo fit sana.
 
Back
Top Bottom