Mzee wa Zamani
Member
- May 6, 2026
- 46
- 107
AminaEndelea kufunga na kisali na kujisomea vitabu vya dini utaona mengi zaidi
Thibitisha...Utakufa karibuni
Ni imani tu haina uthibitishoThibitisha...
utaaminije kitu! Ambacho hujathibitisha kama kipo?Ni imani tu haina uthibitisho
Imani haina uthibitisho ndio maana ikaitwa imaniutaaminije kitu! Ambacho hajathibitisha kama kipo?
Huna uhakika kama atakufa au lah¡ unakisia tu!Imani haina uthibitisho ndio maana ikaitwa imani
Soma tena digidigi weweHuna uhakika kama atakufa au lah¡ unakisia tu!
Asante mkuu..Soma tena digidigi wewe
hakisii huenda yupo sahih ila maana tofauti atakufa kiroho siyo kimwiliHuna uhakika kama atakufa au lah¡ unakisia tu!