Tafsiri ya 'Hapa Kazi Tu'

Hivi kubadili gia angani maana yake nini??
 
Mtaisoma namba. Lazima Magufuli awanyooshe. Mlizoea kupora maeneo ya wazi. Lazima mbomolewe
 
Chadema kila siku wanaponda viongozi Wa ccm kuwa ni wabovu lkn cha kushangaza ukifika uchaguzi chadema haohao wanaazima wagombea ccm.!?!!

Mgombea wao alitoka ccm

Wabunge Wa viti maalumu chadema wameteuliwa kutoka ccm
 
Unataka nimjibu nini? Wewe usiye na kazi waweza mjibu mjinga mwenzio.

Kutwa kucha mshinda mitandaoni na viherehere kibao vya kupost ujinga... Mmeharibu hata maana ha great thinkera.
Khaaa ndiyo jibu Thinkera ndiyo kisomi?
 
Eti Pumba
kwa nini unataka kuitafsiri kwa "kingerza" (hivyo ulivyoandika) ????
Uitafsiri kwa makalori - hii maana ya kazi!
 
Habar zenu wanajamiii wenzangu

nimekwama nilikua naomba msaada kwa anayejua kingerza cha HAPA KAZI TU,,,

Mara nyingi wanasiasa wanaogea sana kuliko wanavyoweza kutenda! Dr. Magufuli, alitaka kujitenga na wanasiasa wa aina hiyo. Kwa kusema yeye yuko tayari kutenda kila anachoamini kitakidhi matarajio ya wapiga kura. Kwa tunaweza kusema "For action"
 
Hapa kazi tu inatoa nafasi kwa watu wabaya. ningependa iwe KAZI NA UTU. kila mtanzania mkubwa kwa mdogo anaweza kukumbwa na wimbi la hii kauli. ni mmoja ambaye hatakumbwa nayo naye ni mwanzilishi wake.
 
Hongera... hata wale wa milembe wanadhani sisi ndo vichaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…