Tafsiri ya 'Hapa Kazi Tu'

Tafsiri ya 'Hapa Kazi Tu'

Unataka nimjibu nini? Wewe usiye na kazi waweza mjibu mjinga mwenzio.

Kutwa kucha mshinda mitandaoni na viherehere kibao vya kupost ujinga... Mmeharibu hata maana ha great thinkera.

Wewe kweli ndio unaonekana mjinga course (hujui kuwa haujui) ndio ujinga ulionao

Swissme
 
Kuna aina mbili za translation,
aina ya kwanza ni direct translation or literary translation
HAPA -here
KAZI -work
TU -only
aina ya pili ni connotation meaning, hii ni translation alichomaanisha
aliposema "HAPA KAZI TU" alimaanisha kwangu mimi Magufuli hapa ni kazi tuu!, lakini baada ya kushinda, sio tena hapa kazi, bali "sasa kazi tuu"
"now its time to work only" hivyo tafsiri halisi ni
"Work Only","just work" or "do your job!"
Pasco
Kiswahili kina fasiri nyingi sana kabla hatujaingia kwenye Makabila yetu
lakini kwa kiingereza mtu akikuambia hapa ni kazi tu = ana maana sasa si mchezo tena ni kukunja nditaWale wachezaji au wanajeshi hata waliopitia JKT km JPM alivyopitia Makutupora maana ya sasa ni MASSINONDER auFATIKI TU watakuelewa
kwa hiyo Bw Pumba General Pumba kwa lugha ya kimombo kuonesha kuwa wewe ni mtu wa kazihuna utani kuna neno
MASS-IN-ORDER = HAPA KAZI TU

 
Unataka nimjibu nini? Wewe usiye na kazi waweza mjibu mjinga mwenzio.

Kutwa kucha mshinda mitandaoni na viherehere kibao vya kupost ujinga... Mmeharibu hata maana ha great thinkera.

Umeachika? Hasira za nini?
 
Kiingereza chenywe hujui masikini wewe lakini kiherehere hakikuishia!!

Kazi yako kuiga tu, unangoja wenzio waseme ili udakie, acha dharau kwa mkuu wetu WA nchi, wenzio tumeshaweka pembeni tofauti zetu zamani sasa tunajipanga kujenga nchi yetu wewe umeng'angana na propaganda zisizo na maana.

Kama huna kazi sema tukuajiri huenda ujinga ukakutoka.


Hongera kwa kujua kiingereza... MAANA HUKO UINGEREZA VICHAA WANAONGEA KIINGEREZA ILE MBAYAAAA....
 
Wadau nimeona ni vizuri kuliuliza hili katika ulingo wa siasa ili niweze kujibiwa vizuri,nini hasa tafsiri ya neno hapa kazi tu katika lugha ya kiingereza?Ukizingatia kuwa ukichambua neno moja moja,HAPA=HERE, KAZI=WORK/JOB na TU=ONLY au JUST ... so nauliza hili neno linaweza kutafsiriwa kingereza?

N.B kujua tafsiri hii itanisaidia katika kazi za uandishi wangu katika blog yangu.

~Twende kazi
 
Jina lako linatosha kukupuuza.

kwa hiyo ww ulitaka nijiitaje?? Na umelazimishwa kukoment post ya mtu humu ndani,,embu acha tabia zako za uswahilini kwenu ww unijui wa sikujui kwahyo kua makin sio kila mtu wa kumletea upumbavu wako...SHENZIIII weee
 
Wakati wa kampeni Mh Pombe alipiga pushapu, wakati mwingine alicheza kiduku akiwaambia wananchi hasa wale wanyonge mimi nitafanya kazi usiku na mchana na nitatengeneza serikali rafiki kwa wanyonge akasema "HAPA KAZI TU" Wananchi wanyonge wasioijua michezo ya wanasiasa wakapiga makofi na kushangilia hadi kuombwa wanyamaze!

Nawauliza wanyonge vipi serikali hii ni rafiki kwetu?

Hebu nenda mabibo na kariakoo au nenda soko kuu Arusha au pale Kilombero kaulize bei ya kitu chochote alafu uje uniambie unaona nini mbele?

Majambazi wakivamia watu siku hizi wanakauli mbiu moja tu "HAPA KAZI TU" ndo maana nauliza kauli hii hasa ina maana gani?

Waziri mmoja akasema hata kama unavibali nyumba itabomolewa tu "Hapa kazi tu" akasema eti mimi raiya nikamshitaki yule aliyenipa vibali! Very interesting:🙁 yaani afisa wa serikali mwenye mamlaka na aliyepewa dhamana na serikali na wakampa mihuri ya serikali ili afanye maamuzi leo eti mimi raiya nimwajibishe!

Swali la mwisho kwa leo::hivi hii kauli ya "HAPA KAZI TU" inamuhusu kila anayeenda kinyume au ikifika maeneo Ofisi za CCM Lumumba, majengo ya wahindi upanga, ofisi za DART na KEBY´S HOTEL itageuka na kuwa HAPA PITA TU?
 
we unapenda kucha na meno yako kweli,mi simo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom