Tafsiri kwa Picha!

dada ana mawazo makali sana kwani jamaa amelala kabla hawajasolve tatizo linalowakabili,kumwamsha anashindwa matokeo yake hapati usingizi kichwa kimetawaliwa na mawazo:embarrassed1:

...upo deep sana, duuuhhh!
Mpaka umenihuzunisha. Yeah, you might be right.
Ila kimtizamo huoni kuwa Mwanaume ame face 'a challenge' wakati Mw'mke ametoa mgongo?
 
...upo deep sana, duuuhhh!
Mpaka umenihuzunisha. Yeah, you might be right.
Ila kimtizamo huoni kuwa Mwanaume ame face 'a challenge' wakati Mw'mke ametoa mgongo?

mwenzio pengine anafata sunna ya kulala kwa ubavu wa kulia .....hehehe

na kikawaida yao wenyewe wanalala kwa mfumo wa spooning, mwanamme akitoa protection zote kwa bibie. Leo mzee kampa distance, bi shosti anajiuliza kulikoni?
 
Hapa jamaa anaendeleza adhabu ya kumnyima tundi bibie,na bibie anajiuliza hivi huyu jamaa atamaliza adhabu yake lini angalau aniguse tu.Mtazame bibie alivyojikunyata anaonekana yuko guilty kwa jambo fulani na anaogopa hata kulala hapo kitandani ila basi tu pingu zinambana.
 
huyu dada mbu kaa haumwi na 'malaria' basi atakuwa ana stress za kufa mtu.

zile stress za mtu akikutizama tu unaona keshakukera let alone ajaribu kukuzungumzisha au kukugusa.

na mara nyingi stress za hivyo chanzo kinakuwa mtu wa karibu ......(alolala pembeni?)

ha ha ha, hivi ume note jamaa yupo bare chested wakati mwanamke 'kalala na nguo?'
ana hila nini huyu?!
 
mwenzio pengine anafata sunna ya kulala kwa ubavu wa kulia .....hehehe

na kikawaida yao wenyewe wanalala kwa mfumo wa spooning, mwanamme akitoa protection zote kwa bibie. Leo mzee kampa distance, bi shosti anajiuliza kulikoni?

....eeehhh, kumbe kulalia ubavu wa kulia sunna? basi nishazipata nyingi! ha ha ...
Ila hiyo ya spooning iliyopewa distance mimi sikubaliani nayo. Huyu bibie anaonekana kabisaa kalala ukingoni mwa kitanda.

Hataki aguswe!

Hapa jamaa anaendeleza adhabu ya kumnyima tundi bibie,na bibie anajiuliza hivi huyu jamaa atamaliza adhabu yake lini angalau aniguse tu.Mtazame bibie alivyojikunyata anaonekana yuko guilty kwa jambo fulani na anaogopa hata kulala hapo kitandani ila basi tu pingu zinambana.

mnh, hizi ndoa hizi!...if only walls could talk...!!!!
MwanajamiiOne ana quote yake

"[FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]The one who loves the least, controls the relationship."[/FONT]
 
mbu

huna habari eee?

unaambiwa lala kwa ubavu wa kulia, usipoweza, basi kwa ubavu wa kushoto, usipoweza lala chali......kifudi fudi haipendekezwi kabisa :)
 
hii ipo sana tu mawasiliano yakiwa mabovu naamini kwenye maisha kila binadamu kuna jambo analipenda zaidi iwe kwenye mapenzi au chochote angependa kuona mwenzake anamuelewa na kulifanya
...hivi inawezekana mke akawa kitandani na mumewe ilhali kajawa na stress kibao kumuwazia mwanaume wa nje?
Shida yote ya nini hiyo?
 
mbu

huna habari eee?

unaambiwa lala kwa ubavu wa kulia, usipoweza, basi kwa ubavu wa kushoto, usipoweza lala chali......kifudi fudi haipendekezwi kabisa :)

ha ha!, huenda ndio maana huyu mdada ameukosa usingizi kwa 'masharti ya ulalaji'
Ndoa ndoana, chakula cha usiku hakipigiwi hodi!

sina hakika kama hili ni kweli

...msome Chauro, advocacy yake....

hii ipo sana tu mawasiliano yakiwa mabovu naamini kwenye maisha kila binadamu kuna jambo analipenda zaidi iwe kwenye mapenzi au chochote angependa kuona mwenzake anamuelewa na kulifanya

...hapo ndio mtu anapolazimika kujishusha ili yaishe.
Lakini kwa mfano na mtazamo wa picha hii unadhani yupi anaelekea 'kutokukubali' yaishe?
 
[

Upo sawa kabisa mkuu mbu ,na hiyo signature ya MJ 1 imetulia kabisa kwani hata waswahili waliimba thamani ya mapenzi ni kwa yule apendwaye na kila anayependa ni mateso.Hivyo wapendwa wajitahidi kujiangalia wanapopenda na sio kwenda wazima wazima.

mnh, hizi ndoa hizi!...if only walls could talk...!!!!
MwanajamiiOne ana quote yake

"[FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]The one who loves the least, controls the relationship."[/FONT][/QUOTE]
 
nachokiona hapo mama ana jeuri yake baba alishabadili muelekeo labda kahamishia kwenye mtungi(pombe)sana au kazi na anapooza mahali hii haimanishi hampendi huyu mama!!!!? mama sasa kushuka tena inakuwa mgogoro au kuna mahali mama anatoa mzigo siku iyo jamaa kajibu mbovu na anahamu ndo ivo mawazo anaanzaje wakati alipokuwa anapoonzwa alimpa vipepsi mume
...hapo ndio mtu anapolazimika kujishusha ili yaishe.
Lakini kwa mfano na mtazamo wa picha hii unadhani yupi anaelekea 'kutokukubali' yaishe?[/QUOTE]
 
...msome Chauro, advocacy yake....

yap namsoma chauro labda ana ukweli ndani yake

...hapo ndio mtu anapolazimika kujishusha ili yaishe.
Lakini kwa mfano na mtazamo wa picha hii unadhani yupi anaelekea 'kutokukubali' yaishe?

kwa mfano wa picha inavyoosha mie naitafsili kama mwanaume kapitiwa usingizi pasipo kumaliza gogoro ndani ya moyo wa mwenza wake .na ndo maana mwanamama hajapata usikuzi akijiuliza kwa nini inakuwa hivyo
 
hii picha inaweza kuleta taswira ya baba kajaribu kubembelezaaaaa mpaka kaishia na mama kabaki na gubu, na hana cha kufanya
 
B727BC716FD04E47924BEF51C07DD15A.ashx

...If walls could talk!....

Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!

Utabadilika vipi naye ukimgusa anakwambia, "Tafadhali naomba usiniguse." halafu anasogea mbali zaidi nawe.
A%20S-confused1.gif
 
mbu

huna habari eee?

unaambiwa lala kwa ubavu wa kulia, usipoweza, basi kwa ubavu wa kushoto, usipoweza lala chali......kifudi fudi haipendekezwi kabisa :)
hahahahaaaa... pal, no harm intended but i must say that i love you for that

nilimiss hizi diskasheni, thanks mbu kwa kuturudisha ndoani
 
Utabadilika vipi naye ukimgusa anakwambia, "Tafadhali naomba usiniguse." halafu anasogea mbali zaidi nawe.
A%20S-confused1.gif
the best way to avoid this one is to pray together before sleeping and to be a comedian, women like jokes alot... try it
 
Back
Top Bottom