Tafiti za kijuha hizi

Hizi tafiti haswa kwenye nguvu za kiume zinaongezeka kila siku,kuna siku tutakuja kuambiwa ata kukata gogo kunapunguza nguvu za kiume haha
Hiyo mbona wanasema. Ukijikamua sana wakati wa kukata gogo unalegeza misuli ya uumue, wanasema misuli ya uume imeanzia kwenye rings/sphincter za anus.
 
Hiyo mbona wanasema. Ukijikamua sana wakati wa kukata gogo unalegeza misuli ya uumue, wanasema misuli ya uume imeanzia kwenye rings/sphincter za anus.
Kwa hito tiache kunya na maisha sasa yatakuwaje
 
Kwa hito tiache kunya na maisha sasa yatakuwaje
Gogo linatakiwa liwe laini, litoke na liteleze lenyewe bila kutumia nguvu sana mpaka unahema na kutoa jasho.
 
Ninachojua ugali wa mahindi unapunguza uwezo wa mtu kufikiri, haya mambo ya nguvu za kiume ni mageni.
 
Labda wanaongelea ugali uliokobolewa na kulowekwa siku kadhaa kama wanavyofanya wenzetu kule Nyanda za Juu Kusini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…