NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Au labda alimaanisha"Series 5"Ñdo najiuliza hiyo S5 ni BMW ya namna gani
Au alimaanisha" X5"
Sujajua bado.
Au labda alimaanisha"Series 5"Ñdo najiuliza hiyo S5 ni BMW ya namna gani
Maybe alitaka maanisha series 5 badala X5Ñdo najiuliza hiyo S5 ni BMW ya namna gani
tena nyeusi
BMW ya SamsungÑdo najiuliza hiyo S5 ni BMW ya namna gani
Una uhakika hio haikuwa samsung galaxy chiefNimeenda na BMW S5 yangu kwa mwendo nilioutaka mie wala sikutaka ligi maana bado machalari ya mama nayataka
Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi kuna magari ukiwa ndani na speed ya 110, unaona mwenyewe roho inaanzakutoka. Ila kuna magari ukiwa 170 unafikiri bado upo kwenye 80Baada yakujifunza kwa muda kidogo, nimegundua the only thing that matters is who is behind the wheel
Ukiacha magari yenye 260/240, haya mengine yenye 180 yatatofautiana kuchanganya tuu.. kama dereva mzuri hata ist inaingia kwenye ligi na magari mengi tu ya 180.
Ila kuhusu Passo hapana jamani.
Itakuwa Samsung Galaxy S5Ñdo najiuliza hiyo S5 ni BMW ya namna gani
Naogopa mafusoo ukute wameshapiga kasichanaa weeee. Wanakuletea motoKimsingi mie nilinyanyasa Mafuso tu kwa kwenda mbele pamoja na ma scania ila hawa machalii wenzangu wenye Alfadi na Matako ya sokwe kimsingi tulichuana vikali vuta nikuvute
Ukorofi jamaniUna uhakika hio haikuwa samsung galaxy chief
Hao jamaa wehu huwa sipendagi kukaa karibu nao.Naogopa mafusoo ukute wameshapiga kasichanaa weeee. Wanakuletea moto
Wako very stuppid. Halaf sijui kwanini siyo waoga.yaan machachari balaa.Hao jamaa wehu huwa sipendagi kukaa karibu nao.
Bwana bwana😂😂😂Ulipata shida ipi ebu share na sisi hapa tujue nini kilikusibu
Shida inakuja nilitaka sio kuleta ligi nae..hapana nilitaka kukaa japo nyuma yake tu tusindikizane nae...Ulipata shida ipi ebu share na sisi hapa tujue nini kilikusibu