Tafiti juu ya nyama ya kunguru



Kunguru anachukiwa kwa sababu ni ndege jamii ya "scavengers" kwa wanyama jamii ya scavengers ni fisi na Nguruwe, scavengers ni wanyama wanaokula takataka, kama nguruwe analiwa vipi Kunguru asiliwe???, ni utafiti tu unaotakiwa kufanywa.
 
Ni kama nyama yoyote tu ya ndege wengine ila makinika na vitu viwili
. kinyesi chake
. nyongo yake
Hakikisha hivi viwili haviigusi nyama ina sumu kali sana
Duuh. Balaa zito
 
Nyama yake inaongeza nguvu za kiume....
 
Kunguru ni ndege mzuri sana ukikaa naye karibu.Anafanya vitu vingi ukivifuatilia vinafurahisha.Sina muda wa kuelezea lakini nitaelezea baadaye
Nakungoja ufungue uzi
 
Aisee kweli magufuli amebana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha yamekuwa magumu kiasi hichi mpaka watu mnataka kula nyama ya kunguru.
Nakusanya tafiti apa nipate uhalali wake ili nijifarij nae mana anakero kitaa sana
 
Kunguru anachukiwa kwa sababu ni ndege jamii ya "scavengers" kwa wanyama jamii ya scavengers ni fisi na Nguruwe, scavengers ni wanyama wanaokula takataka, kama nguruwe analiwa vipi Kunguru asiliwe???, ni utafiti tu unaotakiwa kufanywa.
Naokuomba tu usimwite nguruwe ati ni Scavenger. Huwezi mfananisha nguruwe na kunguru. Hivi unafahamu maana ya huyo Scavenger?? Kunguru, fisi, mbwa mwitu, tai... sasa nguruwe katoka wapi kwenye kundi hilo?? Ka huli acha wenzio wafurahie milo yao.
Wengine hawali milo mnokula nyiye mbona hawaitukani??
Watu hula hadi konokono na lobsters iwe kitu moto.. Ka huli usiitukane wala kuishusha hadhi yake kwa kweli
 
Kunguru ni ndege mzuri sana ukikaa naye karibu.Anafanya vitu vingi ukivifuatilia vinafurahisha.Sina muda wa kuelezea lakini nitaelezea baadaye



Swali ni anafaa kuliwa na binadamu???-- vyuma vimekaza tunataka kumfanya kitoweo, kuku hashikiki,!!🤣
 
Nimekukubali sana. Wee ni msomi na hupendi uvivu. Umeandika insha mpaka hitimisho
 
Hahahaha umevurugwa wewe siyo bure
Ungetangaza tuu ulaji wa nyama ya kunguru ni suluhisho la wenye tatizo la nguvu za kiume. Mbona hao kunguru wangepotea hadi wengine wangetunzwa kwenye jumba la makumbusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…