NITIKE NDOSI
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 153
- 86
weeeeee!!mwanamke ajue anaibiwa koni yake anyamaze!!siyo ninayemfahamu mimi!!mkuu hawa viumbe [ke] wana siri sana anaweza kuwa anajua, lkn aaamua kunyamaza tu
hiyo namba2 siyo kweli!!! mzabzab angesha shikwa siku!!lakini yupo na anaendelea kutafuna bila kushtukiwa!!
mkuu hata ukioga!!!!!Ina ukweli japo sio harufu tuu hata macho yanaashiria, ila harufu ni kweli.
mkuu hata ukioga!!!!!
Sio kuoga tu,hata ujiperfume vp anajua!!!!mkuu hata ukioga!!!!!
mmmmh!ngoja niishie hapo maana huenda mambo yangu yanapuuziwa tu!!!Yaap! Niliambiwa na maza wangu mkubwa zamani hizo then baada ya kuoa mke wangu nae aliniambia na tena wanafundishana kwa wasio tambua....Naamini ni kweli.
Juzi kuna mtu alikutania kuwa huwezi kupost zaidi ya mara 2 bila kuweka neno 'kugegeda', sasa naelekea kuamini.watanistukia wapi kwani mie nawadate hao mademu...nagegeda na kutambaa hatujuani
NINGEPENDA KUSIKIA toka KWAO ILI TUMALIZE HUU UTATA
vp salt evelyn upo kwenye ndoa au bado??? promosha vyombo tusikie!!!
Juzi kuna mtu alikutania kuwa huwezi kupost zaidi ya mara 2 bila kuweka neno 'kugegeda', sasa naelekea kuamini.
Nadhani ni Evelyn Salt aliyesema hivyo!
N'tajitahidiTeh! mzoee....
ata mi sikubaliani nae da we acha tu hiyo kitu si chawote! nikijua tu mbona mlamba vya wenzake na mlambwa watajibebaweeeeee!!mwanamke ajue anaibiwa koni yake anyamaze!!siyo ninayemfahamu mimi!!
Je mwayafahamu haya jamani?????
1.mume na mke wakikaa pamoja kwa mda mrefu hutokea kufanana
Wataalamu wa mambo wamebaini kuwa kitendo cha wanandoa kuwa na 'common share' ie share of food,
share of drinks,share of ideas,share of clothes,share of reproductive organs and so forth....kwa mda mrefu
kunapelekea watu hao kufanana kwa TABIA na SURA
NA
2 Pia utafiti mwingine umebaini kuwa mwanamke ana kipawa cha peke yake kuweza kutambua kuwa mume wake
alikotoka kacheat[katoka kufanya uzinzi].
Utafiti huo unaonyesha kuwa mwanamke analijua hilo kwa kunusa.Utafiti huo unaendelea kudadavua kuwa
harufu hiyo ya aina yake,ni yeye peke yake[mkeo] atakaeyeweza kubaini hata mwanaume uoge na kujipulizie pafume kali namna gani