Tafakuri yangu: Je mahakama ya "ocampo" ni kwa ajili ya waafrika tu???

Jul 14, 2009
86
19
Nisaidieni wadau tutafakari pamoja, je hii mahakama ya 'ICC" yenye makao makuu yake huko Hegue ni kwa ajili ya waafrika tu?? Maana ilianza na wanyarwanda na sasa wakenya na nilisikia kwenye chombo kimoja cha habari cha ughaibini kuwa wanajiandaa kuandaa mashitaka dhidi ya wa 'Ivory Coast'. Je ni vipi kuhusu Bush, Blair na washirika wao kwa uvamizi wa Iraq na Obama na washiki wake kwa uvamizi wa sasa wa Libya kwa kivuli cha Nato na UN????
 
Inavoelekea mostly watakaokuwa wanashtakiwa huko watakuwa ni waarabu na waafrika tu... mwanzoni walitufumba macho kuwashtaki kina Milosovic lakini sasa ndio maana hali ya kuianzisha inajitokeza!!!
 
Back
Top Bottom