Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,725
- 3,795
Anajua siasa, na alikuwa anajua atendalo. Kuongoza watu ambao walishaharibika tangua enzi za wengine ni kazi sana. Inataka hekima na busara kumaliza muda wako salama.Atleast umeweka rekodi vizuri. JK alikuwa ......... tu kwenye eneo la kusimamia nidhamu kwa watumishi na eneo la Rushwa na ufisadi. Kinyume na hapo tungekuwa mbali kimaendeleo
Kwani ''huyu'' yeye ni msafi sana au?
INnawezekana alivumiliwa sana?
Kama ''jamaa'' angekuw mkali, na yeye saa hivi si angekuwa mteja wa wengine.
BUSARA NA HEKIMA hutoka kwa Mweznyezi Mungu.