Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Sawa ni wazo zuri.Sawa, lakini tule he kwenye ku add value ya zao hilo. Kwani japo wanunuzi wanachofahamu kuibangua na kufungasha vizuri na kuiuza (processing). Serikali ilishindwa zamani mpaka viwanda yake vikafa. Ni wakati muafaka wafanya biashara wazoefu wawezeshwe ili tu add value ya zao hilo.
Juzi Mheshimiwa Rais amesema wanaoona hali ngumu ni wale waliozowea pesa zisizo halali.
Isemayo ni mawazo duni sana. Mbona kuna Watanzania wengi sana wamefanikiwa? Bakhresa ni mfano mzuri sana, alikuwa ana kidunia tu cha kishoga makubadhi pale mtaa wa Uhuru.
Kila unapoona matatizo ufahamu kuwa kuna fursa, nnakushangaa sana wewe unashindwa kuziona fursa na unayaona makaburi tu.
Ndiyo maana nikasema wakopeshwe bila riba, ili wasitumie mitaji yao waliyopanga kufanya mengine.
Ok!Hao nimewarajkama mfano tu lakini kuna wafanya biashara wengi wa food processing industry. Walengwe.
Kanatumia ugoro wa bange hakoUnaniita mke mwenza
Teeh
Asante
"Se non sta andando bene, chiama tua nonna." Hiyo ni methali maarufu ya Kitaliano ambayo nimepata tabu kidogo kutafuta ya Kiswahili inayofanana-nayo, sijafanikiwa kuipata. Kwa tafsiri isiyo rasmi inasema "ikiwa hakuna linalokwenda sawa, muone bibi".
Nafahamu Kitanzania ukisema "kumuona bibi" au "babu" wengi wengine huhusisha na kuwaona mabibi na mababu ili waongee na mizimu mambo yaende sawa. Wataliano kwa msemo wao huo hawamaanishi kama Watanzania, Wataliano wanamaanisha umuone bibi kwa hekima na busara zake. Labda niifananishe na methali yetu ya "uzee ni dawa".
Binafsi kama bibi, leo nimedhamiria kutoa tafakuri yangu kwenye zao la korosho na ufumbuzi wa "matatizo" ya zao hilo.
Kwanza napenda ku "declare interest" kuwa binafsi ni mdau wa korosho kwa kuwa na mikorosho, mingi tu, tiliyoirithi toka mashamba ya mabibi zetu ile mbegu ya asili ya kizamani mpaka tumejaribu kuiendeleza na kupanda ya kisasa na tunaliona tija nzuri tu.
Ushauri: Serikali ijitowe kimasomaso kuwakopesha bila riba wafanya biashara wakubwa wenye uzoefu wa viwanda kama vile akina Bakhresa na Mo kufunguwa viwanda vikubwa vya kisasa vya kubangua, kusindika na kufungasha korosho kwa kiwango cha Kimataifa na kuwasaidia kushindana na masoko ya Kimataifa.
Hiyo ni badala ya serikali kuingilia zao hilo.
Sababu kuu ni kuwa wafanya biashara hao tayari wana uzoefu mpana wa viwanda vya "food processing" na tayari wana mitaji katika nchi kadhaa za SADC na Afrika Mashariki.
Ni tafakuri tu ya FaizaFoxy .
TeehKanatumia ugoro wa bange hako
Mteme tu atakuban huyoTeeh

Unatisha mamaHukuona majina ni Bakhresa na Mohamed pekee?
Kajinga sana haf kamejaa udniMteme tu atakuban huyo
Wengi wetu pia walipinga sana, rejea hata mijadala ya bungeni ya zao la korosho, ilifikia pabaya sana.Mtoa mada upo sawa, serikali inabidi itoe support sector binafsi. Risk ni nyingi katika Biashara. Ilifanyika dhambi kuwabeza sector binafsi sakata la Korosho. Waombwe radhi tufungue ukurasa mpya. Wengi wenu kijani mlifisia sana maamuzi yale ya dharula yasiyo na tija.