Tafakuri ya cartoon na Said Michael!

Uko wapi tuwatume Polisi wafanye kazi yao.
 
Tatizo la katoon inaweza kukupeleka mahali ambapo sipo mchoraji alipopatarajia.
Unaweza kumuona MTU huyu anafanana na fulani ukimwuliza mchoraji anakwambia hii picha nimebuni tu.
Ndio maana huwa sizishabikii sana ni kama mpira wa penati unapigwa huku wewe unaruka kuleee
 
Hivi bdo hajapmwa mkojo na mavi huyu mtu hahaa[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…