SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,081
- 13,963
Mkuu Mimi natoa tu ili nami ikitokea wanichangie na wao. Ila kiukweli Mimi ningekuwa nimeshaoa siku nyingi ila huwa nafikiria harusi na gharama zake hadi naishiwa pozi.Maana nzima harusi ni kupata kibali mbele ya Mungu tu haya maharusi ni kujitakia gharama ambazo hazina maana
Ila naomba Mungu anisaidie mwakani usiishe kabla sijaoa