Tafakuri Jadidi: Fukuto la Kongo, Kabila (Baba) alimwandaa Mwanaye Joseph tangu Kunduchi Mtongani, Tanzania

Wabaya ni baHima pale kigali, ndugu Yusuph yuko na sura za bakina kigali,namuzungumuza vile I can tell apart Kati ya Bantu na Nilo na kushi ,tuko na features tofaut kwa makusudi kabisa ya genetics
 
We jamaa bhana.

Kabila ameanza kupigana msituni toka miaka ya 1960, Paulo alianza harakati zake Uganda miaka ya1980.

Sisi huku kuchomekewa alichomekewa lini? Au ni hadithi za kutunga tu?
Mama yake Joseph alishaolewa kabla.....
na ana watoto wengine pia.....
but issue kama hii huwezi elewa imekuzidi
 
Hata ukimuoa hatataka uzao na ww km cyo mtusi.Ataaga anaenda kwao kusalimia atabeba mimba ya mtusi mwenzie atarudi kwako.Na huwa hata km ni mama wa nyumbani lkn lazima atatumika kiintelijensia kwa manufaa ya Rwanda.
Wamejaa wengi hapo sinza sijui Tiss hawawaoni hao sio binadamu
 
Kinachoendelea Congo ni usanii na Rwanda ina mkono wake katika kuifanya Congo kukosa amani kwa maana maslahi ya Rwanda yapo Congo (Misitu, madini nk) na ndio wanatumika waasi wa ADF ambao asili yao ni Rwanda.
 
Kuna Haja ya kila anayeijua vizuri historia ya Kabila aanzishe uzi wake,
Uzi huu unajitosheleza kwa upande mmoja!

Itakua ni burudani endapo tutasoma nyuzi mbalimbali zinazohusu jambo moja na kila mmoja kuchagua wapi panamfaa.
 
Mambo mengine mtapasua vichwa bure, hii nchi ipo salama si kwa bahati tu! Maswali mengi tulishajiuliza humu JF kitambo na mara nyingi tunaishia pale pale.
 
Hatari sana kuna Siri iliyopo sirini ichikitu nimewai kukisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…