Tafakuri Jadidi: Fukuto la Kongo, Kabila (Baba) alimwandaa Mwanaye Joseph tangu Kunduchi Mtongani, Tanzania

Mjengwa nakuomba fanya utafiti wa kutosha kuhusu historia ya kweli kuhusu Joseph, je, jina la Joseph ndiyo alilo batizwa nalo wakati alipo zaliwa,je Laurent ndiye kweli biological father wa Joseph?

Mama yake Joseph ambaye alikuwa anaitwa Marcellina alikuwa na undugu gani na Waziri wa sasa wa Ulinzi wa huko Rwanda, kama ni mjomba wake hii imekaa vipi? Mjengwa ana uhakika gani kama Joseph alizaliwa Dar na sio kwenye kambi ya wapigania uhuru wa misituni aliyo kuwa setup katika misitu ya Kongo na Kabila Sr. pamoja na mpigania uhuru mwenzake kutoka Rwanda, huyo ndie alikuwa amemuoa Marcellina na alizaa nae watoto watatu na baadae alifariki kwenye mazingira ya kutatanisha.

Sasa Bwana Mjengwa atwambie huyo mpigania uhuru wa Rwanda alikuwa anaitwa nani, atutajie majina ya watoto wake, je,watoto hao walilelewa nani baada ya baba yao mzazi kuuwawa, uandishi wa Mjengwa na tafiti zake sio kwamba hajui ukweli huo is simply convenietly avoiding kulizungumzia.

Bila Wacongomani kujuwa kwa undani suala hili - amani katika Taifa la DRC itabaki ni ndoto za mchana, kuna inherent external influence zinazo manipulate siasa ndani ya Congo DRC kwa kutumia remote control hilo ndilo tatizo kuu nchini Congo - haya masuala ya Waluba, Wakasai, wa boringo boringo, wa bandeko nangai, wa maseke ya meme, Wahima hilo ni tatizo dogo kutatulika - narudia kusema wabaya wa DRC wako nje ya Congo.

Wacongomani wakifanya mchezo, wakashindwa kushikamana na ku-address kwa pamoja ni nani hasa adui wa kweli wa Taifa lao, basi Wacongo wataendelea kuvurugwa miaka nenda rudi mpaka jimbo la KIVU litakapo jitenga na kuungana na nchi jirani - that is the crux of the matter here in other words ndio lengo kuu za perenial turmoil inayo endelea nchini Congo - mengine ni danganya toto tu.
Wabaya ni baHima pale kigali, ndugu Yusuph yuko na sura za bakina kigali,namuzungumuza vile I can tell apart Kati ya Bantu na Nilo na kushi ,tuko na features tofaut kwa makusudi kabisa ya genetics
 
We jamaa bhana.

Kabila ameanza kupigana msituni toka miaka ya 1960, Paulo alianza harakati zake Uganda miaka ya1980.

Sisi huku kuchomekewa alichomekewa lini? Au ni hadithi za kutunga tu?
Mama yake Joseph alishaolewa kabla.....
na ana watoto wengine pia.....
but issue kama hii huwezi elewa imekuzidi
 
Hata ukimuoa hatataka uzao na ww km cyo mtusi.Ataaga anaenda kwao kusalimia atabeba mimba ya mtusi mwenzie atarudi kwako.Na huwa hata km ni mama wa nyumbani lkn lazima atatumika kiintelijensia kwa manufaa ya Rwanda.
Wamejaa wengi hapo sinza sijui Tiss hawawaoni hao sio binadamu
 
Kinachoendelea Congo ni usanii na Rwanda ina mkono wake katika kuifanya Congo kukosa amani kwa maana maslahi ya Rwanda yapo Congo (Misitu, madini nk) na ndio wanatumika waasi wa ADF ambao asili yao ni Rwanda.
 
Kuna Haja ya kila anayeijua vizuri historia ya Kabila aanzishe uzi wake,
Uzi huu unajitosheleza kwa upande mmoja!

Itakua ni burudani endapo tutasoma nyuzi mbalimbali zinazohusu jambo moja na kila mmoja kuchagua wapi panamfaa.
 
Mambo mengine mtapasua vichwa bure, hii nchi ipo salama si kwa bahati tu! Maswali mengi tulishajiuliza humu JF kitambo na mara nyingi tunaishia pale pale.
 
Mjengwa nakuomba fanya utafiti wa kutosha kuhusu historia ya kweli kuhusu Joseph, je, jina la Joseph ndiyo alilo batizwa nalo wakati alipo zaliwa,je Laurent ndiye kweli biological father wa Joseph?

Mama yake Joseph ambaye alikuwa anaitwa Marcellina alikuwa na undugu gani na Waziri wa sasa wa Ulinzi wa huko Rwanda, kama ni mjomba wake hii imekaa vipi? Mjengwa ana uhakika gani kama Joseph alizaliwa Dar na sio kwenye kambi ya wapigania uhuru wa misituni aliyo kuwa setup katika misitu ya Kongo na Kabila Sr. pamoja na mpigania uhuru mwenzake kutoka Rwanda, huyo ndie alikuwa amemuoa Marcellina na alizaa nae watoto watatu na baadae alifariki kwenye mazingira ya kutatanisha.

Sasa Bwana Mjengwa atwambie huyo mpigania uhuru wa Rwanda alikuwa anaitwa nani, atutajie majina ya watoto wake, je,watoto hao walilelewa nani baada ya baba yao mzazi kuuwawa, uandishi wa Mjengwa na tafiti zake sio kwamba hajui ukweli huo is simply convenietly avoiding kulizungumzia.

Bila Wacongomani kujuwa kwa undani suala hili - amani katika Taifa la DRC itabaki ni ndoto za mchana, kuna inherent external influence zinazo manipulate siasa ndani ya Congo DRC kwa kutumia remote control hilo ndilo tatizo kuu nchini Congo - haya masuala ya Waluba, Wakasai, wa boringo boringo, wa bandeko nangai, wa maseke ya meme, Wahima hilo ni tatizo dogo kutatulika - narudia kusema wabaya wa DRC wako nje ya Congo.

Wacongomani wakifanya mchezo, wakashindwa kushikamana na ku-address kwa pamoja ni nani hasa adui wa kweli wa Taifa lao, basi Wacongo wataendelea kuvurugwa miaka nenda rudi mpaka jimbo la KIVU litakapo jitenga na kuungana na nchi jirani - that is the crux of the matter here in other words ndio lengo kuu za perenial turmoil inayo endelea nchini Congo - mengine ni danganya toto tu.
Hatari sana kuna Siri iliyopo sirini ichikitu nimewai kukisikia
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom