K Kilambi Member Joined Apr 3, 2009 Posts 94 Reaction score 18 Jul 22, 2011 #1 Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake usiwe mpweke usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi ulivyo kuwa rafiki wa kweli kwa watu wote kuwa makini kwenye sala, boresha uhusiano wako binafsi na Mungu ipende,ijali,ithamini na itunze familia yako kabiliana na matatizo yako mwenyewe,usiwe mtu wa kulaumu watu wala kulipa visasi kuwa na furaha, wenzio wanapofanikiwa onyesha furaha ya kweli nikutakie wikiendi njema
Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake usiwe mpweke usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi ulivyo kuwa rafiki wa kweli kwa watu wote kuwa makini kwenye sala, boresha uhusiano wako binafsi na Mungu ipende,ijali,ithamini na itunze familia yako kabiliana na matatizo yako mwenyewe,usiwe mtu wa kulaumu watu wala kulipa visasi kuwa na furaha, wenzio wanapofanikiwa onyesha furaha ya kweli nikutakie wikiendi njema
vivian JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,749 Reaction score 1,002 Jul 22, 2011 #2 Tafakari nzuri Kilambi
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,159 Jul 22, 2011 #3 Kilambi umekuwa, yaani tafakari ya maana sana. Thankx.
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,502 Reaction score 6,415 Jul 22, 2011 #4 Kilambi said: Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake usiwe mpweke usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi ulivyo kuwa rafiki wa kweli kwa watu wote kuwa makini kwenye sala, boresha uhusiano wako binafsi na Mungu ipende,ijali,ithamini na itunze familia yako kabiliana na matatizo yako mwenyewe,usiwe mtu wa kulaumu watu wala kulipa visasi kuwa na furaha, wenzio wanapofanikiwa onyesha furaha ya kweli nikutakie wikiendi njema Click to expand... nashkuru mkuu u enlight my day hommie,na hapo kwenye red pananihusu sana
Kilambi said: Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake usiwe mpweke usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi ulivyo kuwa rafiki wa kweli kwa watu wote kuwa makini kwenye sala, boresha uhusiano wako binafsi na Mungu ipende,ijali,ithamini na itunze familia yako kabiliana na matatizo yako mwenyewe,usiwe mtu wa kulaumu watu wala kulipa visasi kuwa na furaha, wenzio wanapofanikiwa onyesha furaha ya kweli nikutakie wikiendi njema Click to expand... nashkuru mkuu u enlight my day hommie,na hapo kwenye red pananihusu sana
Jomse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 275 Reaction score 92 Jul 22, 2011 #5 Shukran kwa ujumbe mzuri.Ni kweli Mungu yupo kwa ajili yangu.
chavka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 223 Reaction score 46 Jul 22, 2011 #6 Shukrani ndugu kwa darasa la dunia mola atujalie 2yazingatie
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Jul 22, 2011 #7 Ubarikiwe sana ndugu...!
Bally B Senior Member Joined Jul 11, 2010 Posts 142 Reaction score 17 Jul 22, 2011 #8 kaka hii kitu kiukweli nimeiunga mkono asilimia zote imetulia sekta zotee
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,715 Reaction score 8,119 Jul 22, 2011 #9 Ni kweli kabisa kiongozi,.. In this world full of sin,its you and yourself,.....dont forgetting that 'The distance between you and your God is the same as_you and yourself'......good stuff
Ni kweli kabisa kiongozi,.. In this world full of sin,its you and yourself,.....dont forgetting that 'The distance between you and your God is the same as_you and yourself'......good stuff
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Jul 22, 2011 #10 Twashukuru,ngoja tuione inavyppita.
kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 373 Jul 22, 2011 #11 thanks for this post
M MORIA JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 706 Reaction score 278 Jul 22, 2011 #12 Asante kilambi, Mungu akubariki!
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,310 Jul 22, 2011 #13 Umenibariki sana na tafakuri hii, Asante
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 Jul 22, 2011 #14 asante sana kilambi, umenikumbusha vitu vya msingi sana. Ubarikiwe.
K Kiluvya2011 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 215 Reaction score 31 Jul 22, 2011 #15 Thanks for this..