Hahaa ni kweli mkuu,nakubali..huwa nashauri vijana wangu kila leo the world is more than appearance, the reality is within inner canopy...ndio maana tunachagua wanasiasa wenye maneno bila kujua kuongea nao ni uwezo mwingine na kuongoza pia ni uwezo mwingine.
huyo mzee nakumbuka alitusumbua sana kwenye seminar za CL, hasomeki na mkurupukaji siku zote.
Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari
Na CCM nani na nani wanafaa kugombea Urais?- Ndio maana nilisema Zitto, Mwanakijiji na Dr. Kitila ndio wanaofaa kugombea Urais Chadema, hii ya leo inaitwa kumkoma nyani giladi!!
le mutuz
- Ndio maana nilisema Zitto, Mwanakijiji na Dr. Kitila ndio wanaofaa kugombea Urais Chadema, hii ya leo inaitwa kumkoma nyani giladi!!
le mutuz
Inashangaza kabisa, Mtu anayeheshimika kwenye Jamii anaweza kuamka, akaoga,akanywa chai,akaisogelea computer yake, akalog in, akaingia kwenye face book, akalog in tena, alafu akaandika mambo ambayo Historia imekwisha yadhihisha kwamba hayako sawa. Inatia aibu sana.
Tuliza akili, msome kwa makini. Mara nyingi huyu Mkuu hutumia falsafa ya hali ya juu, wakati mwingine kumwelewa yahitaji kazi ya ziada!!
Not fully true, sisi huku kwenye Business Management tunatambua kwamba The duty to hire and fire is vested in the power of an executive, and a strong business executive is that who exercises his authority to fire rightly. Zaidi ni kwamba the only institution ambayo hata Mwenyezi Mungi amezuia kufukuzana ni kwenye ndoa ama sivyo kama kuna mtu analeta ushenzi fukuzia mbali kabisa, Mungu Mwenyewe alimfukuzia Mbali Lucifer kutoka Mbinguni, does it mean He failed on His leadership role??
Tuzichunguze hisia zetu wakati mwingine.
Ccm hawezi kufukuzana kwa sababu wote ni mafisadi. Kwa hiyo wanaogopana, nani amfukuze nani?Lakini sio lazima majibu yooote ya maisha yatoke kwa mtu mmoja. Wakati mwingine personal strength and weaknesses is what cause some people to hire others to help in areas where they realize they lack. Mwenye mawazo atoe mawazo. Mwenye kuweza biashara afanye bashara vizuri. What matters is whether there is a demonstration of excellency in whatever you are doing.
Usisome zaidi ya nilivyoandika; unaweza kuapply kwenye lolote vile.
Watu kama hawa wanapenda attention, kama umekua ukifatilia huwa makala zake zinakuwa na commanding note as if ndie spokesman wa mitandao ya kijamii.. huwa tusojua sana mambo tunashindwa kumkosoa.
Hapa umependa nini? au unapenda kuendeleza majungu kama riz na nape?- Really? I like that!1
le mutuz
Siku nilipojua kwamba aliwkuwa mmoja wa mafrontliners kwenye kampeni za jakaya za 2005, ndio nilianza kumfuatilia kwa uangalifu mkubwa, na kila siku nazidi kumuona jinsi asivyotabirika. ni extremist in all directions, West,North,South, and East.
- Ndio maana nilisema Zitto, Mwanakijiji na Dr. Kitila ndio wanaofaa kugombea Urais Chadema, hii ya leo inaitwa kumkoma nyani giladi!!
le mutuz
Usisome zaidi ya nilivyoandika; unaweza kuapply kwenye lolote vile.
Lol, chadema hampendagi kuambiwa ukweli, sema hata ukiwa ww mwanao akiumwa hata km hataki ikilazimu utamchoma tu sindano akipona atakushukuru.japo kwa hawa cdm sidhan kama watapona!