Tafakari ya Mwanakijiji leo...

Tafakari ya Mwanakijiji leo...

Hahaa ni kweli mkuu,nakubali..huwa nashauri vijana wangu kila leo the world is more than appearance, the reality is within inner canopy...ndio maana tunachagua wanasiasa wenye maneno bila kujua kuongea nao ni uwezo mwingine na kuongoza pia ni uwezo mwingine.

Inashangaza kabisa, Mtu anayeheshimika kwenye Jamii anaweza kuamka, akaoga,akanywa chai,akaisogelea computer yake, akalog in, akaingia kwenye face book, akalog in tena, alafu akaandika mambo ambayo Historia imekwisha yadhihisha kwamba hayako sawa. Inatia aibu sana.
 
huyo mzee nakumbuka alitusumbua sana kwenye seminar za CL, hasomeki na mkurupukaji siku zote.

Nakumbuka alikua ana lecture ya CL pale nkruma hall, umeme ukakatika, mic ikawa haifanyi kazi, akawa anaongea watu wakawa wanalalamika hawasikii.. Akasema "jukumu langu sio kuwafanya msikie nina jukumu moja tuu,nayo ni kudeliver lecture kuhusu nyie kutonisikia mnataka kunishikiza kujiingiza katika majuku yasiyo yangu" akaendelea kukata lecture..daa yule jamaa mkuda hahaa
 
Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni kweli kwa vyama vile vile; chama kinachoishi kwa vitisho kimeshindwa hoja. Tafakari

- Ndio maana nilisema Zitto, Mwanakijiji na Dr. Kitila ndio wanaofaa kugombea Urais Chadema, hii ya leo inaitwa kumkoma nyani giladi!!

le mutuz
 
Nimejaribu kwenda kwenye hiyo fb page ya ZZK naona asilimia 95 wanamcrash, asilimia 4 hawajui kwanini kaandika wakihisi ni mafisadi wa CCM 1% wanamsapoti. Nilichoelewa kweli ilianza CDM ndo akafuata ZZK, Slaa, Mbowe and the like.

Bado nina imani na ZZK, akae ajistukie arudi kwenye mstari aongoze Chama na wenzie aache ubabe na Ulimbukeni wa umaarufu
 
Kweli kutishiana sio issue..., inabidi mtu/watu wakikosea na wasipotaka kubadilika wawajibishwe na ikibidi wafukuzwe after all usipoziba ufa utajikuta unajenga ukuta...
 
- Ndio maana nilisema Zitto, Mwanakijiji na Dr. Kitila ndio wanaofaa kugombea Urais Chadema, hii ya leo inaitwa kumkoma nyani giladi!!

le mutuz

Nenda kapange list kati ya EL na Membe acha ufutuza wako. Kama unajua kushauri kamshauri mkeo mrudiane mlee watoto ndani ya ndoa
 
Inashangaza kabisa, Mtu anayeheshimika kwenye Jamii anaweza kuamka, akaoga,akanywa chai,akaisogelea computer yake, akalog in, akaingia kwenye face book, akalog in tena, alafu akaandika mambo ambayo Historia imekwisha yadhihisha kwamba hayako sawa. Inatia aibu sana.

Watu kama hawa wanapenda attention, kama umekua ukifatilia huwa makala zake zinakuwa na commanding note as if ndie spokesman wa mitandao ya kijamii.. huwa tusojua sana mambo tunashindwa kumkosoa.
 
Not fully true, sisi huku kwenye Business Management tunatambua kwamba The duty to hire and fire is vested in the power of an executive, and a strong business executive is that who exercises his authority to fire rightly. Zaidi ni kwamba the only institution ambayo hata Mwenyezi Mungi amezuia kufukuzana ni kwenye ndoa ama sivyo kama kuna mtu analeta ushenzi fukuzia mbali kabisa, Mungu Mwenyewe alimfukuzia Mbali Lucifer kutoka Mbinguni, does it mean He failed on His leadership role??

Tuzichunguze hisia zetu wakati mwingine.

Safi sana...umenena vilivyo...uongozi ni zaidi ya kuvumiliana...pia ni kusimamia kanuni na sheria zilizopo. Vyote hivyo ni vya kiongozi. Sio uangalie upande mmoja tuu. Huyu Mwanakijiji kuna wakati anachemka sana. Anataka kujifanya ka Nyerere fulani hivi hali uwezo wake umeishia kwa JK.
 
Lakini sio lazima majibu yooote ya maisha yatoke kwa mtu mmoja. Wakati mwingine personal strength and weaknesses is what cause some people to hire others to help in areas where they realize they lack. Mwenye mawazo atoe mawazo. Mwenye kuweza biashara afanye bashara vizuri. What matters is whether there is a demonstration of excellency in whatever you are doing.
Ccm hawezi kufukuzana kwa sababu wote ni mafisadi. Kwa hiyo wanaogopana, nani amfukuze nani?
 
Usisome zaidi ya nilivyoandika; unaweza kuapply kwenye lolote vile.

Kwa hiyo Jakaya leo kawa role Model wako kwenye Tasnia ya Uongozi, sababu ndio kiongozi anayejurikana kwa kutumia nguvu za ushawishi katika kuongeza chama chake na serikali yetu.

Alipotegemewa na wapumbavu wote wa nchi hii kuwashughulikia wanachama wenzake walioshiriki kwenye wizi wa EPA yeye aliwashawishi kuzirejesha pesa.

Hata aliposhauriwa (kiaina) na Waziri Mkuu kumfire Jairo yeye alitumia nguvu za ushawishi kulainisha watekelezaji wa sheria za uwajibikaji serikalini, wakamvumilia mpaka alipofikia muda wa kustaafu.

Leo nitaenda kumtubia Mungu wangu kwa kuwa mgumu kuyakumbuka maelekezo yake, sababu ninaona kwa uwazi zaidi kwamba, Kumtumainia binaadamu ni makosa makubwa mbele yake.
 
Watu kama hawa wanapenda attention, kama umekua ukifatilia huwa makala zake zinakuwa na commanding note as if ndie spokesman wa mitandao ya kijamii.. huwa tusojua sana mambo tunashindwa kumkosoa.

Siku nilipojua kwamba aliwkuwa mmoja wa mafrontliners kwenye kampeni za jakaya za 2005, ndio nilianza kumfuatilia kwa uangalifu mkubwa, na kila siku nazidi kumuona jinsi asivyotabirika. ni extremist in all directions, West,North,South, and East.
 
Lol, chadema hampendagi kuambiwa ukweli, sema hata ukiwa ww mwanao akiumwa hata km hataki ikilazimu utamchoma tu sindano akipona atakushukuru.japo kwa hawa cdm sidhan kama watapona!
 
Nimekuwa nikisoma thread zake katika tahadhari ya hali ya juu..hapa JF kwa sasa watu wamekuwa enlighten ndo maana post za kinafiki huwa anaziweka facebook.
 
Lol, chadema hampendagi kuambiwa ukweli, sema hata ukiwa ww mwanao akiumwa hata km hataki ikilazimu utamchoma tu sindano akipona atakushukuru.japo kwa hawa cdm sidhan kama watapona!

Ni ukweli gani uliosemwa hapa CDM wakaukataa.. MMK naona aanzishe bendi,alichoandika facebook ni ubeti kamili wa taarabu.
 
Back
Top Bottom