Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
Mkuu unaweza kushawishi kwa kujiamini pale tu kitu unachosimamia ni dhamira safi.Wananchi wana madai ya msingi na serikali inajua ni ya msingi lakini yaliyo nje ya mpango wao wenye maslahi tusiyoyajua.
Huwezi kushawishi u.puuzi zaidi ya kutumia nguvu hasa ukijua hula ya unao waongoza ni Watanzania! Hawa si wakuwaimbia nyimbo za falsafa ni kusema kwa kauli moja inatosha inabidi wasikilize umma kwa nguvu.
By the way mkuu,serikali imeshindwa kutushawishi, sawa.lakini huoni na sisi tumeshindwa kuwashawishi vile vile?
Hapa tukubaliane pande zote tumefeli na kuhatarisha muelekeo wa Taifa! Basi walau tusake muafaka!!!
thats exactly is the point; kiongozi akishindwa kwa hoja ashindwe; akishindwa kushawishi ashindwe asi resort kwenye kutumia njia nyingine ambazo hazileti ushawishi. Fikiria kwa mfano, serikali iamue kujenga hilo bomba la gesi kwa nguvu na kuhamisha wana kijiji na watu wakaandamana na wengine kujeruhiwa wengine watasema "serikali imesema" mimi nitasema "serikali imeshindwa kushawishi".
Kama serikali haiwezi kushawishi haipaswi kuendelea na mradi